Lowassa its time to fight...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa its time to fight...!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanzaniaist, Apr 3, 2012.

 1. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Upepo sio Mzuri Mh.Lowassa, inawezekana adui yako hujamsoma vizuri..,sasa ni muda wa kutumia silaha zote, hakuna mtu yeyote wa kumuamini sasa! tumia mbinu mbadala za kisiasa la sivyo adui zako watakumaliza na wanafiki watakuhujumu (wapambe)...! ITS TIME TO FIGHT..Sasa ni muda wa kuongelea ukweli kuhusu suala la Richmond, na ni muda watanzania wajue ukweli, Kwenye siasa hakuna URAFIKI wala USWAHIBA..! Unahujumiwa na Unamalizwa na wakishamalizia kukumaliza kisiasa wanahamia kwenye Biashara zako! Politics its a dirty game..Kama jana CCM kilitangaza kwa madaha kushindwa kwa uchaguzi Arumeru, Kwakweli Sasa ni muda wa Kufanya maamuzi magumu,
  Tumia sana UZOEFU WAKO na sio PESA, kuwa karibu sana na wananchi wako wa MONDULI kwani ndio wamekuwa na wewe wakati wa shida na raha, Achana na Viongozi wa Dini wenye tamaa bali UKWELI ndio utakaokusafisha, THE TRUTH WILL SENT U FREE, AND IT WILL BE A VESSEL TO DESTROY YOUR ENEMIES
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...fight against people!?
   
 3. b

  busar JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Alifanyie kaz hili
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Lipi? Alishindwa kufight bungeni alipokuwa na nafasi nzuri ya kujitetea na kuweka ukweli bayana ataweza sasa, na hata akiweza nani atamsikiliza? huyu Lowasa,Mwakyembe, Sitta, Kilango na wengine wengi ni wanafiki wakubwa na tumeishamalizana nao.
   
 5. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna jipya ilishatoka hiyo EL kaonyesha kushindwa na hata Wameru wanajua,Waarusha wanajua, Wamasai wanajua na Watanzania kwa ujumla tunajua.
   
 6. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  A-FIGHT? illi iweje? apate nini?
   
 7. Sorrow to Joy

  Sorrow to Joy JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
   
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Sijakuelewa mkuu!
  Unasema CCM walitangaza kwa madaha kuwa wameshindwa,then Lowasa afite!
  Kwa hyo wewe ulitaka watangaze huku wanalia??
  Ulitegemea waibe kura?
  POOR tanzaniaist!
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
   
 10. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Naamini ulimaanisha WILL SET YOU FREE
   
 11. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Gharama ya kuwa au kusema uongo ni kubwa mno, kuilipa kunahitaji busara sio pesa, je swali la msingi busara hiyo EL anayo? CCM kwa ujumla wake imedanganya sana, je busara za kulipa CCM wanazo? Kwa kifupi gharama hiyo ni kubwa zaidi ya kujikana mwenyewe; ndo maana kwa sasa kila kiongozi wa CCM anaonekana hafai, Mmedanganya mno na gharama ni kubwa mno; Je EL atajipambanua kama mwenye busara zaidi kuliko chama? KUKAA KIMYA NI KOSA LA MILELE, amini usiamini.
   
 12. G

  Galaticos Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Pia naamini alimaanisha A TOOL TO DESTROY HIS ENEMIES AND NOT A VESSEL!
   
 13. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Too late!
   
 14. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wakuu inaelekea mimi nina allergy na EL, akiongelewa tu napata kichefuchefu kikifuatia kutapika, kutoa ushuzi na kuharisha.
   
 15. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Adui wa Lowasa ni Lowasa mwenyewe
   
 16. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mmh! Dalili za magonjwa nyemelezi! You must seek medical advice!
   
 17. n

  nketi JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwacheni saaizi anaumwa kisukari. Baadaye tutaambiwa tumsaidie kumpa urais ili akajiuguze si mlisikia sioi akiombewa kura na sokwe mtu ili eti afutwe machozi kwa kufiwa na baba yake?. Watz tumefikishwa hapa.
   
 18. t

  tikocha Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  du hii kali
   
 19. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Lowasa and kundi dogo sana ambalo nguvu yake kubwa(RA) ilishajivua gamba waliobaki nyuma yake ni walafi wanatafuna hela zake alizotuibia na wengine tunao humu JF, wenzake wana kundi kubwa japo hawana nguvu ya pesa lakini wanaweza kuwa strong na kummaliza kisiasa kwa urahisi sana. kikubwa anachotakiwa sasa hivi kufanya ni kutubu na kuomba msamaha kwa watanzania kwa kuwaibia mali zao na kuleta kampuni ya kitapeli ya Richmond/Dowans na kufanya tatizo la umeme kuwa kubwa zaidi na mgao usiokwisha
   
 20. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mwaka huu tutajua mengi mwanawake .......mpolaaa sanaa
   
Loading...