ushauri kwa Zitto Kabwe huu hapa juu ya nini cha kufanya kabla ya kufikiria urais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauri kwa Zitto Kabwe huu hapa juu ya nini cha kufanya kabla ya kufikiria urais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Apr 3, 2012.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wananchi wa Tanzania wahaitaji juhudi, mikakati, na nguvu kubwa kupata katiba mpya kabla ya 2014. Wapinzani hawezi kushinda uchaguzi wa urais wakati hali tuna katiba ya chama cha kimoja cha magamba. Ni ndoto kuota urais wakati hii katiba bado ipo. Zitto ndoto zako ziwe kwanza kuwa na katiba mpya kabla ya 2014.
   
Loading...