Polisi na wanajeshi wote ni wana CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi na wanajeshi wote ni wana CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Apr 3, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kitendocha kupigwa mapanga kwa wabunge wa CHADEMA mbele ya polisi kinanifanya kuanzakuhoji umuhimu wa uwepo wa jeshi la polisi. Kitendo cha mafisadi kuendeleakutanua kinanifanya nihoji umuhimu wa kuwepo jeshi letu. Maana nchi si salamaingawa majeshi tajwa yapo. Je majeshi yetu yameundwa na wakereketwa nawanachama wa CCM kutokana na kale ka mchezo ka kuwa na kadi ya TANU kabla yakujiunga na JKT?
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaa CCM bana ? najaribu ku imagine Mwema anampigia salute Dr.Slaa...hahaaaaa yaani ntagalagala kwa furaha
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Tuamini kila kitu
  mwanzo na mwisho
  mnamjua michael
  sata! Sasa hivi ni
  nani? Tunaanza na
  MUNGU tutamaliza
  na MUNGU. Alutha.... .
   
 4. a

  asiendas Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku isiyo na jina inakuja watashaa. wataomba usiku usiishe.:kev:
   
Loading...