waliotaka kuongeza vituo vya kura kule arumeru tuwafanyaje?

tanira1

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
942
159
wakuu nilitaka kufahmu hatua za kuchukua sisi wapigania uhuru wa tanzania dhidi ya wapola demokrasia waliyojaribu kupenyeza vituo hewa hamsini(50) kule narumeru kumbukeni chadema wasingekuwa makini vituo hivi vingetumika kupenyeza kura hata mia hamsini kwa kila kituo ingekuwaje? na hao jamaa bado wapo tume hatuoni kuwa ni hatari kwa 2015? sasa naombeni mawazo yenu wadau tuwafanyaje?
 
Hakuna cha kusifia tume in real fact tume imeoza!! Tupate tume huru period!!
 
Tulichojifunza ni kwamba kuna umuhimu mkubwa kwa tume ya uchaguzi kutoa majina ya vituo vya kupiga kura siku 30 kabla ya kupiga kura, ili wapiga kura pamoja na vyama vifanye kazi ya uhakiki.
Suala la tuwafanyaje CCM ambao walitaka kuongeza vituo 55 Arumeru si suala la kutolea majibu ya haraka haraka. wapo wataalamu wa sheria na wanasiasa waliobobea kwenye fani hiyo ambao wanaweza ku determine nini cha kufanya dhidi yao!
 
Back
Top Bottom