Kumbe vichaa wana wamwakilishi wao bungeni..!

Tanzaniaist

Senior Member
Nov 29, 2011
161
156
Tanzania ni kati ya nchi Afrika zinazoheshimika, kwa kutoa fursa sawa kwa wote katika jamii kuanzia wanawake,walemavu na watu mbali mbali katika suala zima la uongozi serikalini...!
Mfano.Ashymaar kweygir wanawakilisha kundi la albino
Kapteni komba anawakilisha wasanii,

Sasa naona kuna kundi jingine ambalo limepata mtetezi wao bungeni..,ambalo ni kundi la vichaa na waendawazimu wale ambao tunawajua..bali si mwingine ni LIVINGSTONE LUSINDE huyu anawakilisha vichaa na waendawazimu wote Tanzania wale waotembea uchi barabarani, au kuokota makopo..,

Sasa ni muda Mh.LIVINGSTONE LUSINDE kutetea wenzako kuhusu matatizo yanayowakumba vichaa barabarani kama kupigwa na kutukanwa ,vile vile kuboreshwa kwa hile hospitali yenu ya mirembe...!
 
Comrade una maneeeeeeeeeeeeeeno wewe haya bana tulikuwa hatumjui mwakilishi wao mpaka alipojitokeza hivi karibuni
 
Nilichokipenda sana kule Arumeru ni jinsi CCM walivyo mpa muda wakutosha huyu kichaa kuzungumza.
Sasa kila wakati nilikuwa nafikiria hivi akiokota mawe akaanza kuwapopoa mwanawane si ingekuwa hatari!!!
 
Kumpatia muda wakutosha huyo mwakilishi wa vichaa ni kukubaliana na sera yao ya MATUSI,MADHARAU KWA WATZ NA WIZI.Mbona hakuna hata alieonyesha nia ya kumkosoa?
 
Kabla ya uchaguzi wa Arumeru Mashariki jamaa alijipambanua kama "kibajaji" baada ya kumwangusha mzee Chigwiyemisi. Sasa ajitwalia label nyingine kama "mzee wa mitusi". Hakuna utetezi wowote anaoweza kuufanya kufuta fedheha alijiletea kwake mwenyewe, chama chake na wapiga kura wke
 
Back
Top Bottom