HIVI (CCM,CHADEMA) ndi wako hivi...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HIVI (CCM,CHADEMA) ndi wako hivi...?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by UTAJUA, Apr 4, 2012.

 1. U

  UTAJUA Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau wenzangu binafsi naona hizi ni Sifa ua Tabia za hivi Vyama vya Siasa (CCM, CHADEMA)

  CCM
  1. Waheshimiwa wabunge wao wanapenda kutukana watu
  2. Sera za Chama ni Matusi
  3. Viraza wengi
  4. Hawaogopi kusema uongo mf. Wasira kusema Slaa aliiba fedha akiwa Kasisi
  5. Wanalala bungeni
  6. Hawako kwa ajili ya Wananchi
  7. Wako tayari kuua
  8. Wanaamini nguvu za giza badala za MUNGU
  9. Wanaamini uchawi utawasadia hata kushinda chaguzi
  10. Wengi ni Watu wazima
  11. Hawawezi kufikiria zaidi (wana ukomo wa kuwaza na Kufikiria)

  Hizo ni baadhi za chama CCM

  CHADEMA
  1. Chama cha Maendeleo
  2. Wasomi wengi
  3. Hata ambao sio wasomi lakini Wana AKILI na Wana uwezo Kupambanua mambo
  4. Wana Uwezo wa KUFIKIRI sana
  5. Wanapenda kutetea Wanyonge
  6. Nguvu ya Umma
  7. Viongozi wao wako mstari wa mbele kutetea maslahi ya Wananchi mfano:- Wabunge wa Mwanza waliopigwa mapanga
  8. Sio Viraza
  9. Sera zao ni Nzuri
  10. Team Work
  11. .....

  Na nyingine tu........
   
 2. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukileta maunjanja unaambiwa ww c raia mf jeneral ulimwengu.Bashe tena nashangaa anazidi kujipendekeza Chichiem
   
 3. m

  mbungula Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aah hii ni kweli
   
 4. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  CCM sera ya kura za maoni ''huna pesa huna uwezo wa kuongoza''.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Are you realy great thinker? kama unatoka usingizini hivi. Toa evidence kwa hayo uliyoyasema. Kuua, uchawi na nguvu za giza? unaweza kujikuta unaabudu miungu sababu ya siasa. Tumia vizuri elimu ulioipata katika kuchanganua mambo na kuonekana unamchango fulani katika jamii inayokuzunguka. Utasemaje wanatukana wakati tayari na wewe unapiga mbizi humo humo katika post zako? Viraza, kumwita mwenzako mchawi bila evidence, I think all these are abusive words
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280

  Ushahidi huu hapa:

  1.Profesa Maji Marefu ambaye ni mbunge wa CCM ni mganga anayejulikana wazi kwa ujuzi wake wa kukamata watu uchawi na kuagu watu. Huyu ni profesa wa mambo ya giza na uchawi na yeye anafanya kazi zake hizo hadharani bila kificho.

  2. Marehemu Sheikh Y***** Alikuwa akimpa ulinzi wa majini mwenyekiti wa CCM. Yote haya ni katika kudhihirisha kuwa CCM ni wachawi na walozi kuanzia mjumbe wa nyumba kumi hadi Mwenyekiti wa chama Taifa.

  Ni hayo tu kwa leo
   
 7. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hapa si tii neno
   
 8. A

  Afghan Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aliyekuwa anabisha yuko wapi sasa? Kama anapinga chadema si chama cha maendeleo aende arumeru, ahadi zimeanza kutekelezwa.
   
Loading...