Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwikimbi, Apr 2, 2012.

 1. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  ameanza kwa kumtaja mungu kuwa walianza na Mungu na sasa wamemaliza na Mungu, wako waliomtukana kuwa hajaoa lakini wameru wakampa kura kwa kuwa haendi kusuluhisha kesi za ndoa, wako waliosema yeye ni maskini lakini wameru wamempa kura maskini mwenzao, wako waliohonga sana, lakini wameru wameamua kuchagua haki ....angalia TBC live
   
 2. w

  wamwala Senior Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  safi sn CDM Mungu yu pamoja na waja wake 2015 sio mbali tusibweteke tuchukue nchi Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer . Hure sana
   
 3. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,670
  Likes Received: 2,205
  Trophy Points: 280
  Mungu ampe nguvu za kufanyia kazi.
  Mungu bariki Tanzania
  Mungu bariki Chadema
   
 4. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  daaah.......!
  kiukweli nina furaha. nina furaha ya ajabu.
  nimewapenda sna wameru. Hongera Joshua, hongera meru, hongera chadema, hongereni wana mapinduzi.
  naipenda sana hii nchi. nawapenda sana wanaoipenda hii nchi.
  Mungu aibariki nchi yetu.
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Namkubali jembe langu!
   
 6. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hongera mkuu kwa ushindi na Mungu akubariki
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  freedom is coming tomorrow,pipooozpawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 8. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  sasa ukombozi kamili umeingia vita hupiganwa pembezoni hatimaye ngome hutekwa tunaikaribia ngome sasa,hongera Nasar hongera CDM,hongera mapinduzi
   
 9. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hongera zake sana viva chadema
   
 10. k

  kyoga Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mungu ampe nguvu aweze kuliwakilisha jimbo la Arumeru kwa mapenzi yake yote, ni jambo la kumshukuru mungu kuwa amesikia kilio cha wameru na watanzania kwa ujumla, kazi iliyo baki ni 2015 kuikomboa nchi hii
   
 11. s

  suli Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mungu ni mkubwa na ya Mungu mengi, Aksanten sana wameru 4 inspiring us!
   
 12. GP

  GP JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  fundisho kwa sisiemu kwamba matusi yao yakina Lusinde na vitisho vyao kwa kuweka msitu wa ffu haikua na uwezo wa kushinda nguvu ya umma!,
  Mungu ibariki CDM,
  Mungu wabariki wameru,
  Mungu mbariki kamanda wa ukweli Nassari!
   
 13. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Vipi Lusinde kajifungua? Viongozi wengine wanatoa lugha chafu na kudhalilisha wanawake, wakidhani huo ndio umwamba. Lusinde anaona kuwa watu wanaobeba mimba na kujifungua ni watu dhalili sana miongoni mwa umma. Sijui Mama Spika atampa mwongozo gani.
   
 14. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  M4C.jpg This is called Movement for Change!!
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ukimtegemea MUNGU unafanikiwa
   
 16. f

  fered mbataa JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 240
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu ni wetu hayupo na mafisadi yazidishe wizi. POEPLEZZZ POWEEER FOREVER,
   
 17. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Tumekesha kulinda haki ze2 na mungu ametuwezesha tumezipata pamoja na ccm kuleta vurugu za hapa napale.tumemaliza awamu hii muhm.ila sasa hakuna kusherehekea ushindi tunawataka polisi kuwatoa vijana wetu kwanza.
   
 18. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 882
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Hongera Nassari. sasa ukatafute suti kwa ajili ya kuapishwa. Siku utapoapishwa hakika WaTZ wote wataangalia kipindi cha bunge.

  Ukiweza, uvae lile rubega la kimeru na uwe na kile kifimbo chako.

  Mwisho - huu ushindi uwe ndiyo mwanzo wa kazi. Wananchi wa Arumeru wanategemea mengi kutoka kwako
   
 19. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye red ndo umeharibu kila kitu. Sasa wewe unafikili kila mwanajf anaangalia hilo lichaneli la kijinga hivo? Ukitaja TBC mimi napata kifua kikuuu huku bana! kwa taarifa yako nina miaka 3 sijawahi kuiangalia hio tbccm
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mod tuwekee tuone member wote wanao browse hii thread naona unawaficha wakina rejao ritz na mama porojo bila kumsahau radhia sweety ushindi ni dhahiri Leo nitapiga mzigo mpaka boss akimbie
   
Loading...