Pole Mwigulu Nchemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pole Mwigulu Nchemba

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Avanti, Apr 4, 2012.

 1. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Dalili zilionekana pale ambapo nilikoma kukuona humu JF. Hata hivyo ndiyo ukubwa huo ndugu yangu. Nafikiri kushindwa huku kunakufanya ukae chini na kubuni mbinu nzuri zaidi. Naamini kutokea hivi kwa wakati huu ni vizuri zaidi kuliko ingekuja tokea 2015. Bado kuna muda wa kufanya marekebisho! Try it harder and harder!
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Atueleze tu alipo kada wetu Omary Matelephone maana hawa akina Mwigulu na wenzake hawaaminiki kabisa.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mwigulu atakuwa amejifunza kitu humu jf
   
Loading...