Mnyika kukutana leo na wamachinga waliofukuzwa ubugo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika kukutana leo na wamachinga waliofukuzwa ubugo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by 3squere, Apr 4, 2012.

 1. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  John Mnyika > John John MNYIKA
  Nakutana na wafanyabiashara ndogo ndogo (wamachinga)
  walioondolewa eneo la Ubungo. Nipo na Diwani wa Kata ya
  Ubungo, Boniface katika ofisi ya Serikali za Mitaa, Kata ya Ubungo.
  Taarifa zaidi zitakuja baadae.lll
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  "TAARIFA ZAIDI ZITAKUJA" ahadi ni deni tuna zisubiri hizo taarifa Comrade
   
 3. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  kawatie moyo maana naona serikali ya kikwete haina huruma na watu wake.
   
Loading...