Katika kuonyesha kuwa kuwa viongozi wa ccm wamechokwa katika kila kundi la jamii nchini...leo hapa uwanja wa taifa katika tamasha la pasaka ambalo mgeni rasmi ni Bernad Membe vimetawala vidole...
Kauli ya Mheshimiwa Mbowe kuwa iwapo CHADEMA kitashika dola mwaka 2015 watawala wote wanaotumia fedha za umma kwa maslahi binafisi watashitakiwa mahakamani na kupewa adhabu stahiki kama ilivyo kwa...
Katika mwenendo wa utungaji wa katiba nadhani kuweka imani ya watanzania waliopoteza juu ya umakini wa mchakato wa Kutunga katiba mpya namshauri Jk kumchagua Dr. slaa kuwa mwenyekiti wa tume ya...
Ni dhahili kuwa hali ngumu ya maisha inayowakabili wanachi wengi wa tanzania ikiwemo maisha magumu,huduma duni za afya,mfumuko wa bei,dhuluma,wizi,utapeli,uongo,uongozi mbovu ikiwemo mauaji ya...
Ndugu Zangu,
Bwana Yesu alipotembelea mto Galilaya, aliwakuta wavuvi wakivua samaki, Simoni alikuwa ni miongoni mwa wavuvi hao. Yesu akasema; " Simoni, acha kuvua samaki,nifuate ukawe mvuvi...
CCM are so smart lakini chadema are smarter. Nilikuwa na mtu mmoja wa CCM akaniambia mission ilikuwa ni kumwekea lema pingamizi ili ccm wapite kilaini. Kwamba walimhukumu kwa kifungu batili ila...
BY RICHARD MGAMBA
8th April 2012
As the world approached the 1990s, three major events occurred which shaped the global economy, enforcing globalisation and multiparty democracy, especially in...
Hivi majuzi ktk mjutano wao mjini Pemba mara baada ya Lipumba kurudi toka USA akiwa na viongozi wote wa chama akiwemo Malim Seif, Jussa, Mtatiro nk prof huyo alijikosha kwa kuwa chama chao...
hivi kama ya lema ni matusi ya lusinde(kibajaji) ni nini nahitaji msaada katika hili kwa maana kweli na CCM wamekosa dira wadau nafikiri mnakumbuka kolimba jamaa walipoteza dira kitambo
Chama cha mapinduzi ccm kimepanga mkakati wa makusudi wa kuwakwamisha chadema kwenda kwa wananchi kujiimarisha na kutoa elimu ya uraia kuhusu ujio wa katiba mpya.matukio ya kesi hizi ni moja ya...
Ambao wanaitwa ni wanasheria kwa kusoma mawazo ya watu waliopo kwenye kozi ya Jurisprudence ni wakati sasa wa kutafuta mfumo wa kuhukumu kwa haki hapa duniani maana mpaka sasa haupo kufuatana na...
Hivi karibuni, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeangaza vigezo na masharti mapya ya kujiunga na kozi mbalimbali za afya gazi ya cheti na stashahada. Kwa mujibu wa taarifa ya katibu mkuu wa...
Nashauri idara ya pesa Chadema wawe wabunifu. Nashauri kuingia mkataba na mtu hata mimi naweza kushona magwanda ambayo yana demand kubwa sana kwa sasa na angalao chama kipate asilimia 30 ya faida...
Nikiwa kama mtanzania mwenye kuipenda nchi yangu tukufu Tanzania, napenda kutoa maoni yangu kuhusu huyu kijana aliyeshujaa anayepaswa kuungwa mkono kwa hali na mali. Kwa maoni yangu Mh Lema...
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi...
JE NI NI KWELI BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA H E ambassador batlida ataachia nafasi ya aliyoteuliwa na mheshimiwa rais kikwete kuwa balozi na kuja kugombea ubunge?
ni kweli rais kikwete...
Wana JF,
Mtusaidie wana Ruvuma tupo kwenye limbi kubwa jeusi na zito la ukosefu wa Elimu ya URAIA. Ndo maana CCM tunakiona kama chama kutoka kwa Mungu.
Wanaharakati tunatamani sana mabiliko ila...
Upendo ni uvumilivu, upendo ni kusaidiana katika mahitaji muhimu.
Sasa kama upendo ni kusaidiana katika mahitaji muhimu, inakuwaje viongozi wa Chama la magamba wanakuwa wabinafsi?
Wanakuwa...