CCM sitamwamini kiongozi yoyote; nasema toka moyoni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM sitamwamini kiongozi yoyote; nasema toka moyoni!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul Kijoka, Apr 18, 2012.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nioneeni huruma maana naishi kwa shida kubwa. Nadhani nahitaji ushauri nasaha. Simwamini kiongozi yeyote CCM kuanzia ngazi ya kitongoji hadi serikali kuu yaani hadi rais.Nasema hivyo kwakuwa naona na nazidi kushudia usanii kila kona ya nchi unaofanywa na vioongozi wa CCM wa ngazi zote:1. wanalindana kila kona na kiovu2. wengi ni mafisadi na watoa na kupokea rushwa3. hawalipi kodi pamoja na marafiki zao4. wanazidisha uongo kwa kuwazuga watanzania masikini kuwa ugumu wa maisha ni wa dunia nzima5. wanazidi kusababisha ugumu wa maisha6. wana bunge lao ambalo halilindi maslahi ya nchi na wapiga kura bali maslahi ya chama chao.Je, kuna kiongozi makini ndani ya CCM???Tujadiri
   
 2. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni rejao,ff,na kina ritz1 ndo wanawaamini,wengine ney
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Unaambiwa Tanzania ni Saccos siyo nchi. Kwahiyo hakuna rais tz
   
 4. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Nami siku zinavyozidi kusonga nazidi kukosa walau mmoja wa kumwamini na bado sijampata.
   
 5. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kama nimekuelewa vizuri mkuu ni kuwa rejao,ff,na kina ritz1 ndo wanaamini viongozi wa CCM, inamaana hawa wana siri gani, wanashirikiana nao au?
   
 6. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio umejua leo? 2010 si uliwaamini? usifanye tena makosa 2015 unahakikisha hawa Majambazi tunawatema na hata kama wakiiba kura 2015 patakuwa hapakaliki lazima patawaka moto.
   
 7. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Teh teh teh teh teh.....! Ni kweli mkuu! Nahisi ni mtandao au genge vile!
   
 8. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Watu wengi wanadhani eti Magufuli ni mtu makini lakini ana madudu kibao ikiwa ni pamoja na kutoa rushwa ya daraja huko Igunga. S. Sitta yeye hana jipya bali kupambana na kina Lowassa na Rostam.......... Kiloango huyo ndo balaa, anaipenda CCM kuliko wananchi na kiwa maana hiyo anakubaliana na madudu yote.
   
 9. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Ni kweli mkuu, tuwafukuze kwenye pango letu la ikula ata kama kodi yao itakuwa haijaisha na tuwapangishe Segerea.
  Sijawahi kumchagua kiongozi wa CCM tangu niwe na uwezo wa kupiga kura! Nilipoteza kura yangu mara zote ikiporwa na Masilingi na ata kabla ya CDM nilikuwa namchagua Lipumba nilikpokuwa sijajua kuwa naye chama chake ni cha kisanii.
   
Loading...