Swali kwa Nape: Hawa nao waonaje wakajivua gamba?

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,406
Tumesikia bungeni uchangiaji Wa ripoti ya Mh Mrema na Mh Zitto. Kwa haya inaonekana Waziri Wa Fedha na Biashara na pia wakuu Wa idara za serikali takribani zote ni mafisadi Wa kutupwa, je falsafa ya kujivua gamba inawahusu au iliwalenga EL, RA na AC? Nape unapiga vita ufisadi ila nadhani ni vita ya panzi hiyo.
 
Swali zuri sana, ila hivi hawa TUKURURU huwa hawana Tvs, internet au hata redio?
 
Swali zuri sana, ila hivi hawa TUKURURU huwa hawana Tvs, internet au hata redio?

Kwani kazi yao ni kuzuia rushwa!?...ulishawahi kulinda mpunga usiliwe na ndege basi kuna kipindi una tengeneza sanamu halafu upepo ukija sanamu lina cheza cheza basi ndege wana kimbia lakini usiombe waushitukie kuwa huyo si binadamu hahahaha hakuna rangi utacha kuiona...
 
Huwezi kupinga ufisadi na kupanda jukwaa moja na fisadi. Nape hana sauti, a toothless dog.
Not even a toothless dog! A dog by being a dog may scare even children! No proper name that can fit him. Ni kama kapanya kadogo kuwa kiranja wa panya wote expecting them to behave
 
yaani hapo ndio umeonge kuliko siku yoyote . nape anatumia miguu kufikiri . karibu asilimia 99.9999999 ya wafanyakazi wote wa serikali na taasisi nyingine ni mafisadi . ni uonevu kubaki kusema wakina lowassa tu ndio mafisadi . hii nchi inaitaji kufanyiwa ovaolu paka makanisani na misikitini . ni ngumu kupata maendeleo kama kila mtu anafikiria kuiba .
 
Kha kwani nani kampa Nape ukiranja wa kutungua mafisadi?. Msimsingizie kijana Wa watu.. Yeye huwa anajiropokea kila aliwazalo Na nchi inaendelea.. Yeye mwenyewe hata ukimuuliza fisani ni mdudu gani hata haelewi..
 
Nape njoo chadema ccm wanakuchelewesha chama lao limeshajifia ona makamanda wote wanahama, u ar warmly welcome my brother tym out of stll being ccm member.
 
yaani hapo ndio umeonge kuliko siku yoyote . nape anatumia miguu kufikiri . karibu asilimia 99.9999999 ya wafanyakazi wote wa serikali na taasisi nyingine ni mafisadi . ni uonevu kubaki kusema wakina lowassa tu ndio mafisadi . hii nchi inaitaji kufanyiwa ovaolu paka makanisani na misikitini . ni ngumu kupata maendeleo kama kila mtu anafikiria kuiba .

duh..!! Kweli m4c inafanya kazi..!
 
Mbona la Nape lipo wazi ...Baba riz anapambna na kina El&RA kwa kupitia kinywa cha Nape ,ajenda yao sio ufisadi ila ni kuweka pembeni hawa ili mgao utoshe .

Mwanzo mabwana walikuwa wengi so wakipiga ufisadi mgao unakuwa hautoshi.Sada baba riz anapumua kwani anazipiga mwenyewe na mwanaye kwani analetewa yeye direct tofauti na mwanzo zilikuwa zinapitia kwa EL &RA
 
Back
Top Bottom