Athari za uchaguzi 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Athari za uchaguzi 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Apr 18, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Watanzania zile Rushwa na Pombe pia Kanga, kofia, tshirt za kijani na njano

  je mabango ya wagombea wa chama cha kijani?

  Gharama zake ndo kupanda kwa huo wizi kwenye halmashauri

  Wafanyakazi wa halmashauri wameachwa watafune hela maana wao ndo walisaidia chama la magamba kuiba na kuchakachua kura

  Thubutu kushtaki au kumfunga mfanyakazi wa Halmashauri kama chama la majambazi litakaa lishinde.

  'Everythings which goes around comes around'

  Ngoja Mkuu arudi, atawaita hao wabonge wa chama la kijana na kuwakemea kama watoto, watanywea kama kuku aliyenyeshewa mvua. Wabonge wa Thitiem wataambia hela hizo ndo zimewapa ubunge,...

  Hizo ni kelele tu za bungeni, wabonge wa Thithiem Hoi, waoga
  .
  Kama wako serious basi mbona Jairo yupo anakula bata???

  Mbona Mzee bati anapeta?
   
Loading...