Uzalendo wa Mwl Nyerere: Alimtoa mwanae kwenda vitani Uganda. Je, Mwinyi, Mkapa na Kikwete? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzalendo wa Mwl Nyerere: Alimtoa mwanae kwenda vitani Uganda. Je, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mnyonge Namba1, Apr 18, 2012.

 1. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nilifurahi sana Makongoro Nyerere alipogusia bungeni ushindi walioiletea tz baada ya uvamizi wa IDD AMIN DADAA,najiuliza marais waliomrithi Nyerere wamepeleka watoto wao vitani kama vile kulinda amani Somalia,Comoro,Burundi nk au wanao siku hizi ni kupelekwa kusoma ulaya na kuja kugombea vyeo vya juu vilivoachwa na wazazi wao?. Mwenye details za mtoto wa rais mwanajeshi au polisi kwa sasa aujuze umma wa Watanzania
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 13,002
  Likes Received: 5,881
  Trophy Points: 280
  Mtoto mmoja wa nyerere alikuwa rubani wa ndege za kijeshi, akitokea kufanya mashambulizi kwa adui (amini) alitunguliwa na friendly fire, akafa! Nyerere akatoa speech mashuhuri enzi hizo namnukuu kipande "sasa zitamnyeshea za masika" akimaanisha sasa idi amini atashambuliwa kama mvua za masika!!!!!!!! ooooh! what a spirit. taifa lilipandwa na munkari wa vita sii kawaida, mashuleni wanafunzi waliimba nyimbo za hamasa ya vita wakimbiapo mchakamchaka, mahandaki yalichimbwa, na matokeo yako wazi.
   
 3. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kajipange upya marubani watoto wa Nyerere hakuna aliyefia vitani,wote wapo Andrew na John wapo hai ni wanajeshi wastaafu hadi sasa
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 45,282
  Likes Received: 10,910
  Trophy Points: 280
  Dah! Nadhani wewe ndo unatakiwa ukafanye homework yako upya na vizuri zaidi. Habari za kifo cha rubani mtoto wa Nyerere hata binti yangu wa std 4 anazijua.
   
 5. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  "Mwanae wa pekee" maana yake nini? (Tazama heading ya thread yako)
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Makongoro Nyerere ni mtoto wa nani?
   
 7. d

  dotto JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ni kweli hilo lilitokea. Hawa watoto wa marais wa siku hizi ni mabilionea kwa mgongo wa ikulu. Wachumaji wa utajiri wa nchi hii.Ajabu!
   
 8. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 9,188
  Likes Received: 1,382
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa mkapa ni mvuta bangi, hana mbele wala nyuma. Ni mzigo.

  Mtoto wa j.k ni mfanya biashara anayetumia jina la baba yake kufanya biashara
   
 9. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,303
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Ndugu yake na vicent nyerere
   
 10. E

  Eddie JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii habari haina ukweli ni zile propaganda za "enzi za Mwalimu" naku challenge mtaje jina huyo "mtoto" wa Mwalimu rubani
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,629
  Likes Received: 3,122
  Trophy Points: 280
  Tupatie jina lake tafadhali
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,629
  Likes Received: 3,122
  Trophy Points: 280
  Mwalimu ana watoto wangapi kwani? Tupatieni majina yao na walipo please
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hakuna ukweli hapa. Nilikuwepo sijasikia hicho kisa wala kukishuhudia, wacheni kudanganyana.
   
 14. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  kwani makongoro ni mtoto wa pekee wa mwalimu?..
   
 15. m

  mwirwa kyabwasi New Member

  #15
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana ndugu yangu, fanya utafiti kwanza kwa ulisemalo hapa JF.Mtoto wa nyerere rubani anaitwa Endrea/enduru yupo ni mzima mpaka sasa hakufa anaishi hapa dar es salaam.Makongoro ni mtalaam wa kutengua mabomu na mengineyo ni askari mzuri pia, John naye alikuwa askari alistaafu.hao ndiyo wanae mwalimu maaskari.hakuna aliyekufa usipotoshe umma.
   
 16. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,651
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  kichwa kinauma
   
 17. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 763
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Watanzania tuna kaugonjwa ka kuamini habari za kwenye kahawa! Msamehe bure!!
   
 18. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Huko ndio kuongoza kwa mfano na sio kwa mashairi. Mwalimu alisimamia umoja na umoja unaanzia nyumbani. Vita ni kafara ya nchi na hakuna njia nzuri ya kuhamasisha wazazi waruhusu watoto wao kwenda vitani bila ya kiongozi naye kuonyesha mfano.
  Kuna mifano mingi tu ya namna Mwalimu alivyotenda yale aliyohubiri na sio kama hawa wa siku hizi wenye kutuambia tuwajibike ilihali wao wanaponda nchi. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
   
 19. v

  valid statement JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,732
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  hivi mtoto wa pekee maana yake si kuwa ni mtoto alizaliwa peke yake katika familia?
  mbona JKN alikuwa na wana kibao
   
 20. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 13,002
  Likes Received: 5,881
  Trophy Points: 280
  NIMEIFUTA KAULI YANGU;

  reason;

  i was wrongly informed.

  munisamehe kwa usumbufu uliojitokeza.
  mtoto wa nyerere hakufia vitani, lakini nasisitiza idi amini zilimnyeshea za masika hilo halina ubishi!!!!!!!
   
Loading...