Wabunge wacharuka.

ikindo

Senior Member
Nov 29, 2011
130
110
Kwa ripoti hii ya CAG JK asipovunja baraza la mawaziri ninaukana UTANZANIA.
 
Yaani mtuhumiwa mkulo pamoja na mtoto aw mkulima wameingia mitini wakati taarifa za kamati zikiwa zinasomwa, eti mkulo Yukon WAshngtoni akiandaa bajeti!!!!!? ,sijui ya mwaka gani hiyoo, AMA kweli hii ndo nchi ya Wadanganyika.!!??$$$@@@///--
 
Back
Top Bottom