Duuuh! Lusinde cha mtotoo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duuuh! Lusinde cha mtotoo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jmushi1, Apr 18, 2012.

 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
 2. Andy1

  Andy1 Senior Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lusinde alikua anaongea matusi, huyu Kenyata kaongea busara na mambo ya kujenga hebu badili title yako
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeisikiliza vizuri?Alikuwa na busara, lakini matusi nayo si mchezo!
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mhh hayo makubwa sana
   
 6. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hakuan kama Lusinde kwenye mitusi,
   
 7. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  Hayo matusi ya mareh. Kenyatta ni ya kiutu uzima na yana logic. Huwezi katu kufananisha na ujuha wa Lusinde anayeongea kama mgonjwa wa akili
   
 8. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Mkuu, achilia mbali unazi wa siasa, ya Mzee Kenyatta yamezidi, hapo chini kuna Mkenya ambaye anasema uncle wake alishuhudia everything, kisa ni gari la JK kupopolewa mawe.Sikiliza vyema mkuu, kawaponda hata wajaluo kuwa hawatahiriwi nk.

   
 9. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hii speech ilikuwa very active ... just imagine pamoja na Mzee kushuka kwa nguvu zote na ukali na ... lakini kuna watu wanamjibu hapo kwa hapo!!
   
 10. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,057
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  kumbe ulikuwa haujawahi kuisikia hii clip kabla? Mzee alikuwa anaukabila sana yaani alivyo watukana wajaluo...
   
 11. E

  ENKOKOROMI Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Lusinde hazidiwi na mtu yeyote jamani,kwa nini mnataka kumshusha cheo chake cha matusi bila sababu zozote za msingi?
   
 12. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kusikia tu stories kuwa huyu mzee alikuwa na matusi, ila clip hii sikuwahi kuisikia.

  Kuhusiana na issue ya ukabila, ni kweli "mzee" could've handled it differently, lakini pia tatizo kubwa lilikuwepo kwa viongozi wa wa Luo, kama the late Jaramogi.Yeye aliwaaminisha wajaluo kuwa Kenyatta anawamaliza, certainly, ndio wakati ambao Tom Mboya alikuwa kauwawa, na aliyemwua alikuwa mkikuyu, "Njenga", na tensions zilikuwa very high, "mzee" hakurudi tena Kisumu, na hadi anakufa hakukanyaga huko tena, however wadadisi wa mambo wanasema sumu ya ukabila ilipandikizwa na kuota mizizi at the time right after the incident which followed the Tom Mboya assasination.
   
 13. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Inasemekana huyo aliyekuwa akimjibu ni Jaramogi mwenyewe, nasikia walitukanana sana matusi ya nguoni siku hiyo kabla hata ya huo mkutano.Hiyo ilikuwa wakati anawasili na kukagua hospitali.

  "Mzee" ndo akaamuwa amalizie moja kwa moja alipopata fursa ya kuhutubia.
   
 14. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Mhn, unaweza kuiweka ya Lusinde tufananishe?
   
 15. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Don't tell me .. Yaani Viongozi wa ngazi kama hizo wana exchange in public namna hiyo Hah hah!!

  Huyo Jaramongi alikuwa na wadhifa gani ... maana Kenyatta was the head of state ... Jaramongi anapata wapi guts za ku deal na Mkuu kihivyo!!!?
   
 16. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Jaramogi kabla ya hapo, alikuwa Vice President, akaamuwa kujiuzulu na kuanzisha chama chake cha upinzani kilichokuwa kikiitwa KPU, which stands for Kenya People's Party.Hata matusi haya yalikuwa yakielekezwa kwa members wake pamoja na viongozi ie Jaramogi.

  Tom Mboya na yeye alikuwa ni mjaluo kama Jaramogi. Kabla hata ya uhuru, ilikuwa ni either Tom Mboya ama Jaramogi walikuwa poised kuchukuwa urais, wakagombana wenyewe kwa wenyewe na matokeo yake ni kukosa wote na Kenyatta ndo akautwaa urais kiulaini zaidi.Kenyatta ndo akamteua Jaramogi kuwa makamu wa rais.

  Na huko Kisumu, Kenyatta alikwenda kufungua hospital Nyanza.Hospital hiyo ujenzi wake ulisimamiwa na kufakikishwa na Jaramogi na chama chake cha KPU.

  Baada ya tukio hilo, chama chake kilipigwa ban Kenya, na yeye kupigwa ban kwenye siasa.

  Kwahiyo hao uhusiano wao ulikuwa kama ule wa mwalimu na Kambona kiaina flani.
   
Loading...