Tujadili: wakati wengine wakitarajiwa collapse soon-Nini hatma ya waliowekeza CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujadili: wakati wengine wakitarajiwa collapse soon-Nini hatma ya waliowekeza CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Apr 18, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Wana Jamvi-Si mbaya tukiangalia zaidi ya kukosa ubunge, kuanguka kwa ccm.Hivi kuna liyejiuliza ni madhara gani yatapatika km aftershock kitaifa na kwa wadau wa CCM investment na risk iliyopo kwa wale wanaendelea cheza upatu?

  Sasa hivi kila uchaguzi unahusisha vyama vingi kunakuwa na Mechi angalu 2.Na ukiwa CCM menchi zinakuwa ngumu zote kitu ambacho hawakuzoea kwa vile wanazo hela.

  Tukiachilia mbali wabunge ambao tayari wameshapata hasara za kuua miradi yao wakawekeza CCM ,na kwa vile ilikuwa inatamanisha waliwavuta na watoto wao ili nao waje endeleza kizazi cha nyoka.Wengine walitumia zaidi wakijua kuwa wakijenga mizizi basi hata awamu ikipita watakuwa ktk the so called SYSTEM n ahivyo somewhere watalipa.Hawa nadhani wanaangalia news km speculators wa WALLSTREET ,ila wakitofautina kwa kitu kimoja hawawezi uza share zao haraka km Jamaa wa wallstreet.Na hawawezi beba chochote kwani mida iliyobaki ni ya kutafuta kesi za kupelekwa uholanzi.Hiyo wamebaki na Option moja Tuu Kuanguka kw amistuko ya moyo.

  Kwa wale wanaoanza career na wanategemea anza kimbizana na kuhonga sana ktk chaguzi za chama, na zikirudiwa wakope na kuhonga tena.Then wakiweza pita hapo waingie ktk mechi na wapinzani ambao wameshikilia silaha zote za kisasa zinazoangamiza kuliko pesa.

  Ile nortion kuwa ukigombea pitia CCM lazima ushinde is a gone story..Sasa kwa wenye kujua uchumi na uwekezaji mnawashauri nini hawa watu wenye kutaka wekeza ktk chama kinachostaafishwa. Uwezekano wa kurudisha faida au hata mtaji upo tena?watu wa bima wanaemaje kuhusu Risk? Madakatari wapo tayari kusaidia kutoa ushauri jinsi ya kukabilian ana mshtuko utakaokuwa ukipata kila taarifa zinapofika?

  Ktk thread yangu pamoja na kusema bila woga kuwa Dr. Lucy Nkya hafai, pia nilimsahuri ajitoe na akajenge na kumaliza matatizo binafsi.wapo walioona kuwa ni shambulizi binafsi.Il mimi naona si yeye tuu hata wenzie wengi wajifunze kuwa watakuja jutia gharama na muda wanopoteza.Hasa kuanzia sasa, si salama sana kuwekeza ktk siasa hasa kupitia chama tawala.
   
Loading...