Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenye mapenzi ya kweli na dhati na kujivunia Utaifa wake Mwenye kujali na kulinda maslahi ya Taifa lake na watu wake Mwenye uwezo wa kupanda mbegu imara ya Uzalendo kwa kila mwananchi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huu ndio ukweli kinachoendelea Tanzania ni wanasiasa wetu kutawaliwa na siaza za uwoga kwa kujua au bila kujua kuwa siasa za namna hiyo ni sumu kubwa katika kusukuma maenedeleo ya nchi nyuma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumeona mengi kuanzia kwenye nishati, madini, maji na kilimo. Na wiki hii tumeshuhudia makubwa zaidi katika afya na elimu ambapo kumomonyoka kwa sekta hizo kunadhihirishwa zaidi. Je ni hak kusema...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Ni kana kwamba watu hawataki kuamini kile ambacho wanakiona na wamekiona kwa macho yao kwa muda mrefu. Kuanzia kwenye kilimo, maji, afya, nishati, utalii, mifugo mpaka kwenye elimu -na kila kitu...
6 Reactions
77 Replies
5K Views
Kwa kila jambo ambalo linawagusa wana nchi na kuwakera na serikali ya ccm kuchukulia poa inawapa wananchi nafasi nzuri ya kuwachukia na kuzidi kuwachukia na kuanza kuamini kua ccm ipo kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nadhan sasa niwakat muafaka kwa aliekua naibu wa katibu mkuu wa UN kutumikia taifa lake
1 Reactions
78 Replies
6K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Cyril Chami amejitetea kwamba yeye na wizara yake hawamlindi Mkurugenzi Mkuu wa TBS Bwana Charles Ekelege kama alivyotuhumiwa na baadhi ya wabunge mjini Dodoma...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Japo nimeiweka kama tetesi lakini muda wowote atakuwa kaingia Dodoma na tutarajie lolote. Safari hii hakuna cha "Wazee wa Dar". Nitakuja na updates baadae kidogo Updates: JK amewasili Dodoma...
11 Reactions
110 Replies
14K Views
Tunawaomba siku hizi mbili kabla bunge halijaahirishwa pitieni mgao wa bajeti za mikoa na halmashauri za wilaya. Mnaweza kutumia mfano wa vitabu vyenu vya mikoa. Kimsingi kwa mwaka ujao wa fedha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
JF nimekuwa nikipitia kwenye wall paper (Facebook) ya aliye kuwa waziri mkuu wa TZ kabla ya ya huyu anayejiita mtoto wa mkulima Lowasa ambaye anajiita Lowassa the next president of united republic...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndani ya CCM wapo watu wengi tu wanaojua na kuona kuwa serikali yetu inaenda vibaya hasa kwenye suala zima la uwajibikaji au kuwajibishwa kwa watendaji wabovu, wezi, wala rushwa na wasiosimamia...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Diwani wa CCM ndugu George J Mlimani wa mahenge ulanga amefariki dunia leo usiku jijini Dsm Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amini.
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Kwaya ijulikanayo kama Kwaya ya Ng'ombe ya Magu Mjini Mkoani Mwanza yenye watu 45 imejiengua CCM na kuhamia CHADEMA. Wanakwaya hao wamepokelewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Magu ndugu...
22 Reactions
60 Replies
8K Views
- According to the dataz, jana ni Waziri Maghembe pekee aliyewagomea Wabunge wa Kokus ya CCM huko ndani kwamba hataandika barua ya kuachia ngazi kama wenziwe, akaambiwa basi asubiri tu kufukuzwa...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Japo najitahidi kujiaminisha kuwa Kikwete atafanya maamuzi ambayo wao wanayaita 'Magumu' (Japo kiuhalisia ni jambo jepesi tu kwa kuwa si uamuzi mgumu kumdhibiti mwizi kama wewe si mwizi pia) ...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Kwanza siyo siri kuwa viongozi hawa wameingia kwa rushwa na wanaopokea rushwa ni wa piga kura wa tanzania sasa mbunge anayehonga na akawa waziri je atakuwa mwaminifu wa mali ya umma?2 viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bwana William J. Malecela, Kwanza hongera kwa kujitosa kwenye ulingo wa siasa za CCM ili kupima kina maji. Mara baada ya matokeo hukusita kuja JF kuonyesha uungwana wako kutujulisha matokeo na...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Saalaaaaam Kumekucha baada ya hekaheka za jana huku macho na masikio yakiendelea kutosadiki yanayotarajiwa kujiri hasa baada ya kigugumizi kuwatawala wanaokusudiwa kufunguwa midomo yao kupaza...
26 Reactions
417 Replies
40K Views
Waziri mkuu Pinda binafsi sijawahi kuwa naye mahali popote nilimufahamu alipo teuliwa kuwa PM alipojiuzulu Lowasa ni mfipa asili nami pia toka kabila dogo la wanyamwanga 'fipa'naye ni' mupimbwe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nipo pembezoni mwa maeneo ya miji katika wilaya ya Maswa. Hali ni kuwa, iwe wazee, vijana yaani; makundi yote ndani ya jamii yanaonekana kukubaliana na mabadiliko yanayoendelea kutokea nchini.
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…