Kwa nini simwamini kikwete?

IsangulaKG

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
706
385
Japo najitahidi kujiaminisha kuwa Kikwete atafanya maamuzi ambayo wao wanayaita 'Magumu' (Japo kiuhalisia ni jambo jepesi tu kwa kuwa si uamuzi mgumu kumdhibiti mwizi kama wewe si mwizi pia) , bado napata kigugumizi cha Imani kuwa huyu Jamaa atafanya maamuzi hayo;
Alikaa Kimya na kuwasema 'vibaya' madaktari wetu,
Ikashindikana, Kuvua gamba ndani ya miezi mitatu,
Serikali yalia ukata, yu safarini kila mwezi mara tatu,
Uchumi umezorota, vingozi kama machatu,
Wanakwapua na kumeza mali zetu,
Tunaishi kama watumwa, nchini mwetu,

Akirudi safarini, Ikulu akaa tu!

Huyu Huyu NDO tunamtegemea???

Najiondoa kwenye kundi hilo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom