Wimbi la mabadilliko nchini linatia moyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wimbi la mabadilliko nchini linatia moyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tenths, Apr 21, 2012.

 1. T

  Tenths Senior Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nipo pembezoni mwa maeneo ya miji katika wilaya ya Maswa. Hali ni kuwa, iwe wazee, vijana yaani; makundi yote ndani ya jamii yanaonekana kukubaliana na mabadiliko yanayoendelea kutokea nchini.
   
Loading...