Maghembe Azua Kizaa zaaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maghembe Azua Kizaa zaaa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Field Marshall ES, Apr 21, 2012.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - According to the dataz, jana ni Waziri Maghembe pekee aliyewagomea Wabunge wa Kokus ya CCM huko ndani kwamba hataandika barua ya kuachia ngazi kama wenziwe, akaambiwa basi asubiri tu kufukuzwa kazi!

  - More Dataz ni Mkulu amesharudi Dar leo na Emirates, na tayari ameshashuka Dodoma na Jumatatu mambo yatakuwa hadharani! STAY TUNED!  WAZEE WA SAUTI YA UMEME!; ES!
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kuachia ulaji,hata ningekuwa mie nisingekubali ng'o......mpaka uachishwe ndio kufa kiume,lol:glasses-nerdy:
   
 3. k

  kiponzelo Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  napita
   
 4. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  JK yupo Dodoma sasa hivi halafu wewe unasema Kesho!!!!!? Hiyo kesho ndio anaondoka
   
 5. S

  Setuba Noel JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee ES naona hii imekupita. JK keishatua Dodoma, kaamua aliloamua na amesharudi Dar tayari kwa safari ya Lilongwe kesho. Maagizo kamwachia Pinda, atayatoa jumatatu.
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280

  mmepotoshwa na ninyi kupotoka..
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  msikubali kupotoshwa na thread eti jk amefika dodoma na ameshatoa maamuzi!!
   
 8. S

  Setuba Noel JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ndiye JK?
   
 9. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Unapoteza muda.
  Washakunywa Kool Aid hao.
   
 10. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jestina, Weweeee siunajua anaingia jamvini yule ... usitake Waziri afe kiume alafu apitie kuuliza how can I get to Jestina ...? anybody with her contact lol ... hapo sasa ukiunganishwa na sakata zima!! Lakini kweli nafikiri waziri lazima aonyesha last challenge ... Je akifanikiwa kuwatingisha na ku maintain Post.. tusubiri tuone!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Duh, kila mtu anasema lake
   
 12. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  leo kuna thread ni full kupotosha na zinatoa hadi kilichoazimiwa..mtu wanayesema yuko dodoma yuko magogoni dsm..
   
 13. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...kama kifo Kanumba.
   
 14. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280

  kikwete ypo dsm na si dodoma...leo naona jf imejaa thread mfu nyingi sana
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Edson wewe upo TZ au upo ughaibuni? ( sijakupinga na wala sijakuunga mkono. )
   
 16. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa ni muongo sana. Taarifa zake na uchambuzi wake ni wa kitoto. Sishangai amekosa ubunge kwani nilitarajia hivyo. I dont buy taraarifa za willy
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,359
  Likes Received: 22,221
  Trophy Points: 280
  Jumatatu tusishangae CAG akipigwa chini na Mkwe're kwa ajili ya kulinda maslah ya washkaji zake (washkaji wa mkuu)
   
 18. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu Dar yule Dodoma. Sasa ndo nini ?
   
 19. K

  KONGOTO Member

  #19
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo hapa naona km hakuna lolote la kusema..............
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  U mean taarifa hizi ni kutoka kwa Political loser!!??....
   
Loading...