Siri kwa nini wa tanzania wanaibiwa mali zao na wakubwa ,utashangaa soma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri kwa nini wa tanzania wanaibiwa mali zao na wakubwa ,utashangaa soma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Erasto..sichila, Apr 21, 2012.

 1. E

  Erasto..sichila Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza siyo siri kuwa viongozi hawa wameingia kwa rushwa na wanaopokea rushwa ni wa piga kura wa tanzania sasa mbunge anayehonga na akawa waziri je atakuwa mwaminifu wa mali ya umma?2 viongozi wa afrika hata hapa tanzania hawana uzalendo niwa binafsi hapo munategemeanini kama siyo kuibiwa ? 3 viongozi wengi wanamadaraka makubwa ya maamuzi super power hapo munategemea nini kamasiyo matumizi ya madaraka vibaya 4 viongozi wengi ngono uzembe hivyo akipata madaraka ni vibinti kila kona sasa atawapa nini nao wengi wanaahidiwa magari na nyumba? basini hatari yote hayo matanuzi yapesa za wananchi 5 wengi wa viongozi hulewa madaraka na sifa sasa akifika wilayani anatetemekewa na viongozi wadogo kinafiki akiondoka wanafanya kweli yote lawama kwake ok basi mwana jf niachie hapa nawe ongea lako ili tujue mianya ya ukwapuaji pesa huwa inatengenezwa vipi hali tupo macho wazi nini hii too much
   
Loading...