Ahadi zatimia CCM inaelekea kufa kwa kulindana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahadi zatimia CCM inaelekea kufa kwa kulindana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by undugukazi, Apr 22, 2012.

 1. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kwa kila jambo ambalo linawagusa wana nchi na kuwakera na serikali ya ccm kuchukulia poa inawapa wananchi nafasi nzuri ya kuwachukia na kuzidi kuwachukia na kuanza kuamini kua ccm ipo kwa ajili ya kuwarudisha nyuma na sio kuwapeleka mbele. Suala la uwajibikaji serikalini ni suala nyeti na limesisika tanzania nzima sasa kazi ni kwa serikali kuamua kulipuuzia na kupoteza nafasi yao ya kuendelea kuiongoza nchi ama kutumia busara na kubadili haya mambo. Kuwalinda mawaziri wasio tenda kazi zao kwa umakini sidhani kama wananchi ni wapumbavu kiasi hicho cha kutoona uozo wao ila hawana uwezo wa kuwaondoa hao watu isipokua rais na rais akileta siasa ndio kabisa vyama vya upinzani vitaendelea kung'aa kwa kuwakosoa, si lazima kuwalinda hao watu kwa kuwapa majukumu yenye dhamna kwa wananchi kama walisaidia kampeni au walikua marafiki wa karibu, u can find other ways na kutengenesha serikali ya wananchi na ubinafsi unaonyeshwa na viongozi wetu wa ccm. Mwisho wenu unawadia na ccm mnaopenda mabadiriko msipokua wakali na mwenyekiti wenu mtaishia kuhamia upinzani wote au la ipigwe kura ya kutokua na imani na rais pia ili nae awajibike.
   
Loading...