Diwani wa CCM afariki dunia

kijenge

Senior Member
Mar 9, 2012
179
164
Diwani wa CCM ndugu George J Mlimani wa mahenge ulanga amefariki dunia leo usiku jijini Dsm Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amini.
 
wa chsma gani aithee. Hata hivo si neno lala kwa amani kama ni mmoja wa makamanda. Ukombozi unaendelea.
 
wa chsma gani aithee. Hata hivo si neno lala kwa amani kama ni mmoja wa makamanda. Ukombozi unaendelea.
Muwe munasoma vizuri kabla ya ku-comment....thread inajieleza "Diwani wa ccm ndugu George J Mlimani wa mahenge ulanga amefariki dunia leo usiku jijini Dsm mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amini."
 
Back
Top Bottom