je ni kiongozi gani wa serikali mwenye sifa hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je ni kiongozi gani wa serikali mwenye sifa hizi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchwa, Apr 22, 2012.

 1. m

  mchwa Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  1. Mwenye mapenzi ya kweli na dhati na kujivunia Utaifa wake
  2. Mwenye kujali na kulinda maslahi ya Taifa lake na watu wake
  3. Mwenye uwezo wa kupanda mbegu imara ya Uzalendo kwa kila mwananchi bila kujali itikadi, rangi, kabila, dini, elimu, umri au jinsia
  4. Mwenye uwezo wa kuhamasisha na kuchochea juhudi za maendeleo ya jamii, umma na Taifa
  5. Mwenye nidhamu, watiifu, kuwajibika, tija, ufanisi, kujituma na ufuatiliaji wa hali ya juu
  6. M wenye usikivu, uungwana na unyenyekevu kukiri makosa, kukubali kukosolewa na kupokea na kufanyia kazi maoni ya wengine
  7. Mwenye uwezo wa kufanya kazi, kufikiri, kuwa na upeo na wepesi wa kukabili na kufanya maamuzi magumu
  8. usiolea uzembe, ubaguzi, unyanyasaji, uhujumu, ubadhirifu, rushwa, kudharau, kudhalilisha, kujuana au kulinda maslahi ya wachache au kikundi Fulani
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Julius Nyerere RIP
   
 3. m

  maramojatu Senior Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dr. W. P. Slaa. Viongozi wa magamba ni wabinafsi kupindukia
   
 4. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  J M Kikwete pekee.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
Loading...