Wanajamvi hizi safari za mkubwa nani anaziratibu na kuzigharamia? mbona hata hapa home kafa mtu mkubwa tuu? kwanini hajamzika mwakanjuki au hakuna graride na utambulisho plus thifa ya kitaifa?
Na Zitto Kabwe:
Tutakuwa na mkutano na Waandishi wa habari leo saa tisa mchana Bungeni Dodoma. Ajenda 1) kuutaarifu Umma kwamba #Sahihi70 zimetimia 2) kwamba Spika atakabidhiwa Hoja kesho...
Ama kweli Tanzania ni nchi ya amani mpk siku ya kiama, watz niwaombe tudumishe upendo na mshkamano na kuwajali viongozi wetu, mpendwa raisi wetu katuwakilisha msibani malawi, amesema akitoka huko...
Tangu majuz naskia habar za wafuasi na viongoz wa ccm wakijiunga na chadema. Jana zaid ya 2000, leo zaid ya elf 3. Kesho na keshokutwa.....graf itazd kukua kwani imeanza elf 2 na inaendelea.
Akihutubia maelfu katika viwanja vya SAHARA jijini MWANZA Dr. Slaa kasema anawapongeaza wabunge wote waliotia saini ya kutokuwa na imani na waziri mkuu,kwani pesa iliyopotea ilikuwa chini ya...
Kwa kuwa mimi si muumini wa chama cha siasa lakini naipenda siasa.Tabia ya mawaziri wa CCM kutunisha misuli ya kutotaka kujiuzuru hata kama wanaboronga na kuipeleka nchi yetu katika maisha duni...
waziri wa uchukuzi amesema hawezi kujiuzulu wadhifa wake maana haoni sababu za kufanya hvyo .aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari mjini dodoma.chanzo channel ten habari
Watanzania wanapaswa kujuta kwa kumchagua Rais Kikwete na CCM, nchi inamuelemea, mfumuko wa bei umeongezeka, maisha ya Mtanzania sasa ni hoi bin taaban. Haya ni majuto, alisema Dr Slaa.
Katika...
Kwanza kabisa nasikitika sana kusikia kauli za Jakaya Kikwete ati ni upepo tu utapita kwa maana hiyo anawafanya Mawaziri wake watembee kifua mbele.Hii sasa moja kwa moja inadhihirisha kuwa Jakaya...
kesho ndio kesho masikio ye2 sote ni dodoma pale mjengoni je waziri mkuu atasema nii?.tuna dhani hata watakopojiuzulu ndio suluhisho pekee?.naeza sema ni sawa nakujaza upepo kwenye tairi...
Mkuu salaam. Naamini yote yanayoendelea katika nchi yetu hususan mambo mazito yaliyoibuliwa au kutokea hivi karibuni na mijadala mbali mbali kuibuka Bungeni na mitaani yamefika Ofisini kwako. Mkuu...
kuna maandamano makubwa sana katika barabara ya airport Mwanza watu ambao asilimia kubwa ni
vijana wanaandamana huku wakilisukuma gari la Dr Slaa kuelekea airport.
Wakuu heshima mbele,
Nimekuwa nikiisoma Ripoti ya Serikali ya Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za Serikali ya mwaka wa fedha uliopita (2010/2011) yenye kurusa 216 na nimekuwa pia nikiilinganisha na...
Hikiwa ni siku nying zimepita pale miccm hilopochukua ujiko n.k kwenye msiba wa kanumba, kwakutoa mi ahadi kibao tukianza na m/kit wao kikwete mil 10, nchimbi n.k, habari toka ndani kabisa...
nlikua napita maeneo ya tengeru mda si mrefu kuna askari wanapiga mabomu......nlivyouliza naambiwa ni wameru wamevamia mashamba sasa sijui ni yapi ya mtei au yale ya wawezekaji........kama ni haya...
Hali si shwari ndani ya serikali ya Kikwete.
Nasikia mawaziri wachafu wesha vishwa ngao ya kutoenguliwa wizarani.
CAG anayajua madudu mengi serikalini, na hii serikali ni ya maharamia zaidi ya...