Waziri Nundu agoma kujiuzulu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Nundu agoma kujiuzulu!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Asango, Apr 22, 2012.

 1. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  waziri wa uchukuzi amesema hawezi kujiuzulu wadhifa wake maana haoni sababu za kufanya hvyo .aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari mjini dodoma.chanzo channel ten habari
   
 2. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hanakosa, tatizo yote yaliotokea ni maelekezo ya kikwete.... so sio kosa lake hila atayeye kichwa maji hafai kama ukimwi.
   
 3. u

  uwazi Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhe Waziri anahitaji msaada kutetea maslahi ya nchi katika bandari ya Dar. Mungu aingilie kati juhudi zake.
   
Loading...