Kwa tabia hizi za mawaziri wa ccm-chadema chukueni nchi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa tabia hizi za mawaziri wa ccm-chadema chukueni nchi!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wakurogwa, Apr 22, 2012.

 1. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa kuwa mimi si muumini wa chama cha siasa lakini naipenda siasa.Tabia ya mawaziri wa CCM kutunisha misuli ya kutotaka kujiuzuru hata kama wanaboronga na kuipeleka nchi yetu katika maisha duni kwa wizi(Ufisadi) au uzembe wao basi kuna kila sababu ya chama mbadala hasa CDM kuichukua hii nchi.Haiwezekani waziri anasimama mbele ya wanahabari na kusema hawezi kujiuzuru kwa vile haoni kosa lolote wakati kuna ubadhirifu kwenye wizara yake.Hii ni dharau kubwa sana tena sana.Hivi hiki kiburi wanatoa wapi?
   
Loading...