Ccm hoyeeeeee! Nchimbi hoyeeeeeeeee!

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Hikiwa ni siku nying zimepita pale miccm hilopochukua ujiko n.k kwenye msiba wa kanumba, kwakutoa mi ahadi kibao tukianza na m/kit wao kikwete mil 10, nchimbi n.k, habari toka ndani kabisa zinasema mpaka sasa hakuna ata sh 100 imetolewa, upuzi huu ni bora kila mtu hautambue........, naona 2015 kama vile mbali.
 
Tatizo sio H, ujumbe unaeleweka najifunza kiswahili sasa apo nimejitaidi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom