Chadema wazuia magari mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wazuia magari mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbuki Feleshi, Apr 22, 2012.

 1. M

  Mbuki Feleshi Senior Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kuna maandamano makubwa sana katika barabara ya airport Mwanza watu ambao asilimia kubwa ni
  vijana wanaandamana huku wakilisukuma gari la Dr Slaa kuelekea airport.
   
 2. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Leta full stori nini kimetokea na nini sababu yake?
   
 3. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Kamanda Lema gari yake haipo nayo isukumwe?
   
Loading...