Watanzania haya ni majuto kwa kumchangua jk kikwete na ccm- dr slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania haya ni majuto kwa kumchangua jk kikwete na ccm- dr slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bemg, Apr 22, 2012.

 1. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  “Watanzania wanapaswa kujuta kwa kumchagua Rais Kikwete na CCM, nchi inamuelemea, mfumuko wa bei umeongezeka, maisha ya Mtanzania sasa ni hoi bin taaban. Haya ni majuto,” alisema Dr Slaa.

  Katika hatua nyingine, jana mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wilayani Sengerema, John Tungu, alirejesha kadi ya chama hicho na kujiunga na CHADEMA

  Tanzania daima
   
 2. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  dr. sio wote waliomchagua kunguru hafugiki....ila ni watanzania wajinga ndo walimchagua...na ukizingatia
  watanzania wengi ni wajinga wanadanganywa na vitamba......madhara yanakuwa kwa wote....ni kama dereva
  mzembe akisababisha ajali wanaumia na kufa hata abiria wasiokuwa na hili wala lile. but ngoja tule jeuri yao labda
  watabadilika
   
 3. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  yaani mkuu nakubaliana na wewe asilimia elfu moja, nimekuwa nikiwaambia watu sana huku kuteseka maisha magumu wala sio ccm bali ni wajinga wengi wa hii nchi waliowaweka ccm madarakani nakutufanya watanzania wote katika matatizo. lakini nashukuru mungu wale ambaowalipiga kura ccm ndowao wanaongozakuteseka mpaka hela yakununu hata kidaka hawana. nabado amna rangi wataacha ona, mpaka mkuu wakaya aondoke watakiona chamtema kuni.
   
 4. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Na Wezi wa kura+NEC
   
 5. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata hivyo nchi haiongozwi na ccm wala JK ndiyo maana unaona mfumuko wa bei na hakuna wa kukemea
   
 6. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nani anaongoza nchi?:crying:
   
 7. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Dr. Usiiishie kusema hayo tu hayatoshi.
  Watanzania wanajua, lakini hawajui jinsi ya kujitoa kwenye mtego huo.
  Ni jukumu lenu sasa kwuafummbua macho wananachi.
  Hakikisheni elimu ya kupiga kura inatolewa, hasa kwa vijana wa vijiweni.
  Wengi wao hawajiandikishi na hawapigi kura.
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Nawalaumu sana wapare wezangu wa kule Mwanga kwa kuichagua ccm kwa kishindo, ila cha moto wanakiona
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Waroho wa Mapilau,kanga,kofia na elf 5 wametuponza
   
 10. z

  ziwapohazipo Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Afadhali Dr Slaa na wafuasi wake wanakiri kuwa Rais kikwete amechaguliwa na wananchi na kufuta ile kauli yake kuwa ameibiwa kura zake hongera Dr Slaa kwa kuwaelimisha watazania ukweli plz usijegeuka mbogo tena ukarudia kauli zako za mwanzo
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wafuasi wa shekh yahaya
   
 12. B

  Benno JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Failure to understand risk can lead to severe consequences
   
 13. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,837
  Likes Received: 4,202
  Trophy Points: 280
  Mimi nisihukumiwe jaman huyu mtu sikumchagua! kwa mazuri yapi? labda kukenua hata msibani!
   
 14. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  dr slaa bado una weweseka na uchaguzi? huja amini hadi leo kama JK alikubutua kihalali!
   
 15. john leonard

  john leonard Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanza binafsi najilaumu mimi binafsi,sababu inifanyayao nijilaumu nikushindwa kumuelimisha huyo asemwae ni mjinga,kwani nawe pia upokatika ujinga huu na waweweza kuwa mjinga kwa kuwa nakuona katika ujinga huu,kwani badala yakuelimishana na wazee na watuzungukao vijijini ambao naamini wengi wao ndio wanaorudisha nyuma gurudumu la kufuta ujinga huu.wapo wautendao ujinga huu kwa ukosefu wa yaendelea katika dunia iliyopiga hatua,mfano usidhani ukimfuata bushman ambae kwetu ndie hadzabe umwambie kuhusu mfumuko wa gharama za maisha atakuelewa.yupo kwa mfano mzuri ndugu yangu aishie kijiji ya kuwa maisha magumu unatumia angalau elfu kumi kwa siku kwa familia kupata angalau mlo wa siku haamini na anaamini ni anasa tuu,atataka utembee sijui peku ama uchi ili ukabiliane na ugumu wa maisha?ndio najilaumu kwa kutomuelisha mjinga madhara ya rushwa ya vitambaa na mikopo kipindi cha chaguzi,madhara ya kushabikia siasa tukidhani ni michezo wakati ni chombo cha kumuokoa mnyonge,ila ni ngeli ya 'ninge...'.,ila japo tumeumia ndio vizuri tujue kuepuka ngeli ya 'ninge..'naipongeza star tv kwa kutoa somo la kukwepa mchezo mchafu wa siasa na ukikwepa uchafu utabakia na usafi.elimu ya demo,cracy tuelimishane mimi,wewe na yuleeee!tusirushiane mpira wa lawama bali tugange yajayo.
   
 16. P

  PETER NYAMWERO Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S shade:MACHO TUNAYO NA MASIKIO LAKINI WENGINE HAWAONI WALA HAWASIKII MZIGO HUU ITABIDI SASA TUTUMIE NJIA ZA KUWAFUATA AMBAO HAWAELEWI ILI WASITUANGUSHE 2015
   
 17. john leonard

  john leonard Member

  #17
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wape wazo!njia kama ipi?moja=shule,kivipi kumuelimisha mwanafunzi atarajiwae kupiga kura athari tulizo zipata ama tutakazo zipata kwa ushabiki wa vyama na kutoangalia sera ni adhabu zitakazo tupata sisi tuingiao kwenye maisha ya ugumu bila hata kuwa na chanzo tulichowekeza tufauti na wazee waliowekeza enzi za wana sisi** wenye uzalendo,na sasa sio hao tena bali wana sisi** wenye upendeleo kwa mafisadi na kuwaficha makwapani mwao.turudi enzi za akina SARAFINA,japo walinyimwa kulifundisha jambo hili mashuleni!upande wako vipi?tupe wazo!
   
 18. M

  Mkira JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
 19. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  hii nchi inajiendea kwa majaaliwa ya mwenyezi MUNGU,lingekuwa basi,dereva kikwete kaachia usukani anashirikiana na konda (mawaziri) kukusanya na kutumia nauli(kodi)
   
Loading...