mabomu yanapigwa arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mabomu yanapigwa arumeru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by budot, Apr 22, 2012.

 1. budot

  budot Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  nlikua napita maeneo ya tengeru mda si mrefu kuna askari wanapiga mabomu......nlivyouliza naambiwa ni wameru wamevamia mashamba sasa sijui ni yapi ya mtei au yale ya wawezekaji........kama ni haya ya mtei ya hapa tengeru sijui wameru watakua wamedanganywa na nani
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Duuuuuuuuuuuh!!
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu wote si ni wawekezaji hao?
   
 4. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Jana usiku nilipita tangeru hapo sangarai niliona watu wanagawana shamba ambalo lilikuwa limetelekezwa na mwekezaji.yawezekana ndio lenyewe.
   
 5. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Leo usiku wananchi wa Arumeru walivamia shamba lingine eneo la Shangarai,shamba hilo linalojulikana kama kwa Singa,lilivamiwa usiku wa kuamkia leo,ambapo mamia ya wananchi walijigaia kila mtu akashika kipande chake,wananchi hao wakiwa mchanganyiko wa wazee,vijana walikuwa na silaha za jadi,kama mapanga.Walibaki shambani hadi muda wa saa kumi,polisi walipofika na kuwatawanya kwa mabomu

  my take
  Nashauri serikali itumie njia mwafaka kutatua kero ya ardhi meru,na si kwa mabomu wa risasi,kwa kuwa hakuna jeshi lolote litakaloweza kuzuia umma unaodai haki yao iliyoporwa.
   
 6. budot

  budot Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  nadhani ni la wawekezaji weupe
  :smile:
   
 7. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kwanini wasimchome moto huyo Mwekezaji ili mke wake huko Magogoni ajue kuwa Wenye nchi hawataki pororjo.....Nawaunga mkono wana-arumeru na watanganyika wenzangu pale wanapodai haki zao hata kwa nguvu au kwa upole, nawaunga mkono Haki haiombwi, inapiganiwa. Tutafika tu safari yetu ingawa wengine tutawapoteza njiani lakini tutafika tu
   
 8. budot

  budot Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  kama ni la makaburu bora maana hawa jamaa watakua washatasmbua haki zao
   
 9. k

  kamalaika Senior Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2007
  Messages: 187
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ni shamba la makalasinga, wenyeji wanaliita shamba la tosi
   
 10. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,892
  Trophy Points: 280
  hii ni trailer tu picha kamili yaja soon!!
   
 11. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Wavamizi ni wapi? Wenye nchi au Muwekezaji mvamizi? Mbona hueleweki.
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Wacha watu wakajigie maeneo yao. Juzi walivamia shamba la doly mpaka mama wa kizungu akaomba asiuawe, kwani yupo tayari wagawane ekari tatu tatu, na yeye akagawiwa ekari tatu.

  Wananchi wa Meru hawana mchezo
   
 13. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hivi hawa wawekezaji,walishakosea nini makwao??!!!Yaani pamoja na rabsha zote hizi hawafikirii kuondoka...Tokeni bwana mtuachie nchi yetuuuuuuuuuuu..
   
 14. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Na bado sana, Tunaanza kwa Mabwana wa mafisadi halafu tutakuja kumalizia kwa Mafisadi. Ukombozi unakuja
   
 15. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Hali si shwari katika jimbo la Arumeru mashariki, ni polisi wakiwapiga mabomu ya machozi, risasi na maji ya kuwasha wananchi, ni baada ya wananchi kuvamia moja ya mashamba makubwa ya wawekezaji toka jana usiku.
  Source; mimi mwenye niko hapa arumeru picha muda mfupi ujao nitaweka wadau.
   
 16. M

  Mabelana JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Na huu ushabiki wenu mh!
   
 17. budot

  budot Member

  #17
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  mbona wenzako wameelewa
   
 18. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Kama wamevaima shamba la MTEI nawaunga mkono 100%
   
 19. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  poa mkuu
   
 20. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hao wawekezaji wakawekeze bagamoyo,
   
Loading...