Mambo haya yananichanganya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo haya yananichanganya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by msambaru, Apr 22, 2012.

 1. m

  msambaru JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Wanajamvi hizi safari za mkubwa nani anaziratibu na kuzigharamia? mbona hata hapa home kafa mtu mkubwa tuu? kwanini hajamzika mwakanjuki au hakuna graride na utambulisho plus thifa ya kitaifa?
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Fanya utafiti ujue hulka ya WAKWERE
   
 3. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Bro ndo unaamka nini???zipo thread zinaelezea hii mada yako hebu tupia macho huko nadhan kuchanganywa kutaisha.
   
Loading...