Nahisi CAG yatamkuta ya Mwakyembe soon

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,839
Hali si shwari ndani ya serikali ya Kikwete.
Nasikia mawaziri wachafu wesha vishwa ngao ya kutoenguliwa wizarani.
CAG anayajua madudu mengi serikalini, na hii serikali ni ya maharamia zaidi ya Wasomali, tena ni ya mahayawani zaidi ya MAFIA wa Italy.
Soon tutasikia hali ya CAG ikianza kudorora
 
Ama soon utasikia either msiba or anything to pull off attention ya watu kwenye vitu muhimu vinavyoendelea.
They think they know how to play, but muda wao utafika tu:A S angry:
 
Back
Top Bottom