Mbunge gani aliyemo kamati ya POAC hajasaini karatasi ya kuunga mkono hoja ya PM kung'oka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge gani aliyemo kamati ya POAC hajasaini karatasi ya kuunga mkono hoja ya PM kung'oka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kassim Awadh, Apr 22, 2012.

 1. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wakuu,kuna mbunge yeyote aliyemo ktk kamati inayoongozwa na mh Zitto ambaye hajasaini karatasi hiyo? Deo filikunjombe tayari kashaonyesha anavoweza kusimamia na kutetea anachoamini. Mzee wangu Mrema A nae kasaini japo mwenyekiti mwenzao Cheyo licha ya kuilalamikia serikali kwa ubadhirifu/ufisadi hajaonyesha anaweza simamia anayoamaini
   
Loading...