ukistaajabu ya Al-bashiri utaona ya mkulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukistaajabu ya Al-bashiri utaona ya mkulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by msambaru, Apr 22, 2012.

 1. m

  msambaru JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Ama kweli Tanzania ni nchi ya amani mpk siku ya kiama, watz niwaombe tudumishe upendo na mshkamano na kuwajali viongozi wetu, mpendwa raisi wetu katuwakilisha msibani malawi, amesema akitoka huko anaenda sudani kusini wataka kupigana, shime tupandishe kodi katika bidhaa za ndani tupatepo na pesa za kugharamia safari muhim za kitaifa kama hizi. Kama mtakua hamjaseto ishu zenu na pinda mseme akatoe pole malasiya kwa tishio la tsunami
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Acha tu kodi zetu zinatafunwa vizuri sana eheee kibanda katiba mpya lini?
   
Loading...