Nawapongeza wabunge wa vyama vyote vya upinzani na CCM By Dr. Willbrod Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawapongeza wabunge wa vyama vyote vya upinzani na CCM By Dr. Willbrod Slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by S.N.Jilala, Apr 22, 2012.

 1. S

  S.N.Jilala JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 537
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 80
  Akihutubia maelfu katika viwanja vya SAHARA jijini MWANZA Dr. Slaa kasema anawapongeaza wabunge wote waliotia saini ya kutokuwa na imani na waziri mkuu,kwani pesa iliyopotea ilikuwa chini ya mawaziri anaowasimamia kwa hiyo anasitahili kuubebe msalaba huo.Pia amedai kama msimamizi mkuu na pesa imepotea na kwa nini anazidi kuwa mpole kwa mawaziri walio chini yake kwa hiyo waliosaini ni wazalendo na wanawawakilisha wananchi wa Tanzania.
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Slaa Rais wetu 2015ยด
  long live slaa.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Viva cdm 2015 wabunge zaidi ya 100 na Dr slaa Prezda believe that!!
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Na wabunge hawa waliojitokeza adharani kufanikisha taratibu za kuomba kupigwa kura za kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, waingie mojakwamoja katika orodha ya mashujaa katika ukombozi mpya wa Taifa letu.
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Amina Rais wetu mtarajiwa Dr Slaa
   
Loading...