Kesho mjengoni

Kesho mjengoni

Joined
Mar 25, 2012
Posts
8
Reaction score
1
kesho ndio kesho masikio ye2 sote ni dodoma pale mjengoni je waziri mkuu atasema nii?.tuna dhani hata watakopojiuzulu ndio suluhisho pekee?.naeza sema ni sawa nakujaza upepo kwenye tairi lililopqasuka.ndaani ya ccm hakuna mwema tena.M4C
 
Sasa hapa kuna tetesi gani?

Kwamba kesho waziri mkuu atasema bungeni lakini tetesi ni kwamba haijulikani atasema nini! Hizo ndizo tetesi! Great Thinkers bwana tumethubutu tumeweza tunasonga mbele!
 
binafsi nasubiri kwa hamu nione staili watakayotoka nayo magamba,all in all wajiuzulu wasijiuzulu strategically wameumia tu,aibu ya Jk
 
Kwamba kesho waziri mkuu atasema bungeni lakini tetesi ni kwamba haijulikani atasema nini! Hizo ndizo tetesi! Great Thinkers bwana tumethubutu tumeweza tunasonga mbele!

unasoma darasa la ngapi?
 
Back
Top Bottom