Ikiwa bunge,wazir mkuu,rais watashindwa kututetea,mungu atatutetea watanzania, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikiwa bunge,wazir mkuu,rais watashindwa kututetea,mungu atatutetea watanzania,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TumainiEl, Apr 22, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Imebaki masaa Machache sana watanzania uhuru wetu na mali yetu tunayo dhulumiwa na wachache itaenda kurudi mikononi mwetu. Wao wana jeshi,silaha nzito na kila aina ya ulinzi ila sisi tunaye Mungu alie Baba wa watanzania wote pasipokujali, dini zao wala makabila ama rang zao.

  Taifa hili limeingiliwa na mchwa ktk misingi yake na kama sio Mungu kushuka na kuwatetea watanzania mchwa hawa wataiangusha misingi ya taifa hili na huo ndio mwisho wa Tanzania. Hatuitaji nchi za ulaya or either of them kuja kutusemea. Watanzania tumechoka na kama Rais anadhani watu wanapumzi aendelee ila Mene mene Tekel na perezi.
   
Loading...