Unadhani Filiku-Njombe anastahili wadhifa gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unadhani Filiku-Njombe anastahili wadhifa gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amavubi, Apr 22, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa ameonesha ujasiri sana na ukomavu wa KISI-HASA, mimi nisingePenda apewe wadhifa wowote maana nitamkosa sana katika kuikosoa serikali ya chama chake, nakumbuka jinsi Mwanri, Pinda, Mwakyembe, Manyanya, Kasaka, na wengineo walivyokuwa wanaichachafya serikali lakini ONA SASA baada ya kupewa kisu na umma nao WAIKATE KEKI........
   
 2. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Nacho mpenda huyo jamaa ni misimamo, anaweza kusimamia kitu anacho kiamini
   
 3. M

  Makupa JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  waziri mkuu pamoja na kuwa na umri mdogo
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mkuu wa wilaya ili tujue kama anaweza kweli
   
 5. m

  mharakati JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sasa kwa nini tumpe cheo wakati kazi aliyonayo ni inamfaa zaidi? watz bwana vyeo vya nini sasa namna hii, tunahitaji filikunjombe zaidi bungeni pale, bunge ni mhimili muhimu sana, uwaziri hautamfanya mtu awe makini ukichukulia kanuni ya kuwajibika kwa pamoja huyu ataonekana popote pale. he is effective where he is.

  kama tukiwa tunafikiria kuwazawadia wakuu wa mikoa, wa wilaya, wabunge nk doketi za uwaziri basi tunataka kuitukuza executive branch katika balance of power ya demokrasia yetu. na hiki ni kitu kibaya kwani hata hawa wanasiasa watakua ni povu la bia tu kila siku, kujifanya wanachachafya serikali ili wapewe wizara..sana sana apewe kamati fulani ya bunge na si zaidi
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  mia.....................
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  si atafichama sana?
   
 8. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  amejitoa muhanga huyu jamaa
   
 9. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,648
  Trophy Points: 280
  Hivi CHEO ni zawadi?
   
 10. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mi naona abaki mwakirishi wa wananchi hiyo ndo inamfaa, labda awepo kwenye kamati watchdogs,
   
 11. K

  Kamura JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumbe kelele zote hizo anatafuta cheo!
   
 12. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  sio zawadi ni dhamana but kumbuka tunavypiga upatu mawaziri waliopo waondoke maana yek ni kwamba wameshindwa kutumikia dhamana yao na tunajenga ushawishi kwa wale tunaoona wanafaa kuwa mbadala wao kama huyu mh.
   
 13. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  sidhani ni kutafuta cheo bali kutafuta suluhisho la changamoto zinazowakabili watanzania kwa kusababishwa na kundi fulani dogo tu la watu.......
   
 14. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  mia.................
   
 15. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  au mnataka kumuenzi baada ya kupata Brain Concussion?
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mbona tayari anacheo cha ubunge!
   
 17. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  nimeona kwenye ubunge anaishia kuwa VUVUZELA TU!!
   
 18. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,519
  Likes Received: 10,436
  Trophy Points: 280
  hivi kwa wakati huu na serikali hii kuna nafasi nzuri na ya uhuru zaidi kama ubunge.? Kama mnaona uwaziri mzuri muulizeni mwakyembe.
   
 19. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hata kama anatafuta cheo, tunampa maana kaonesha anaweza kusimamia maslahi ya nchi. sasa hao tuliowapa vyeo muda wote huo wanaonesha uwezo gani? kuiba?? ehhh wizi wa mali zetu, heri apewe Fili atatusaidia kwa kiasi fulani hata kama sio 100%
   
 20. k

  kinyaka New Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoa hoja nadhani katumwa na Filikunjombe,hivi kweli uongozi leo ni zawadi.nadhani umepotea.filikunjombe hapo amejaribu kutimiza majukumu yake na si zaidi tuwe na mawazo chanya
   
Loading...