BUNGE linaingilia mihimili mingine?

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,090
Naomba mnijuze sielewi au upeo kuna Serikali,Mahakama na Bunge
Utendaji wake hauingiliani na hakuna aliye juu ya mwenzake, tuliona tatizo la posho Wabunge walimtuma akakwama wapi? Jairo na Luhanga wapi na wapi ikaja Wizara ya Afya.
Mbona Mahakama haiingiliwi.
Hivi ni nani katika Mihimili hiyo atakaevunja Bunge na Wabunge wakaombe tena kura kupata ajira nisaidieni
 
Back
Top Bottom