Bunge la leo linaendelea,ni wizara ya maliasili inakaangwa leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge la leo linaendelea,ni wizara ya maliasili inakaangwa leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mamaya, Apr 23, 2012.

 1. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  baada ya kamati ya uchunguzi wizara ya maliasili kuwasilisha ripoti yake mbele ya bunge imeibua madudu mengi yaliyofanywa na wizara hiyo na kutoa pendekezo la waziri mhusika kuwajibishwa
  Moja ya madudu yaliyofanywa ni kuuzwa kwa tembo wanne kwenda karachi pakistani kwa madai kuwa serikali ya mji wa karahi iliomba wanyama hao lakini cha kushangaza hakuna barua kutoka serikali ya pakistani ya mji wa karachi kuomba wanyama hao,pia hakuna barua iliyoonyesha kuwa wanyama hao walipelekwa lini na kama walipokelewa yaani hakuna kielelezo chochote na bado wanyama waliendelea kupelekwa bila kuwa na udhibitisho.
  Pili wizara imekuwa ikitoa vibali vya umilikaji wa vitalu pasipo kuzingatia utaratibu,vimetolewa vitalu 16 pasipo waombaji kuzingatia masharti,watu wamepewa vitalu hata ambavyo hawajaomba,wengine wamepewa vitalu kwa upendeleo akiwemo Saidi Kawawa,,
  Nawasilisha
   
Loading...