Kamati zaendelea kuwasulubu mawaziri na watendaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati zaendelea kuwasulubu mawaziri na watendaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M'Jr, Apr 23, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mh Lembeli (Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi Maliasili na Mazingira ndio amemaliza kutoa taarifa yake inayowasulubu Waziri wa Maliasili na Utalii, Makatibu wakuu nk hasa kuhusiana na lile sakata la kusafirishwa kwa twiga wawili na tembo wanne kwenda Pakistan
   
Loading...