Hii ni Hatari: Wabunge wa CCM watishiwa maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni Hatari: Wabunge wa CCM watishiwa maisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 23, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Source tz daima

  Wabunge wawili kati ya wanne walio tia saini ya kutokuwa na imani na waziri mkuu wametishiwa maisha na mafisadi ikiwa ni nje ya vitisho vya kuvuana magamba ndani ya NEC.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Wanatishiwa na nani? Yaani siku hizi kutimiza haki yako ya kidemokrasia basi unatishiwa maisha? Mbona wamesaini watatu yaani Filikunjombe, Lugola na Mkono lakini wanatishiwa wawili tu kwa nini?

  Wakashitaki polisi na kwa spika wa Bunge ili wapate ulinzi.
   
 3. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hizi tetesi za siku hizi hapa jamvini haziaminiki kabisa, mimi sijui wapi watu wanaleta hizi habari.tafadhalini msidhalilishe jamvi likawa kama mageziti ya udaku wakati humu wapo wasomi tupu.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Subirini Kurugenzi ya Ikulu itakavyokuja kuwakingia kifua Mafisadi
   
 5. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mpaka mtu afe ndo uamini au mtu augue ghafla kama Mwakyembe ndo uanze kuanini
   
 6. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mtu aje hapa kutetea Mafisadi Nitamtukana matusi ya Nguoni yale ya Lusinde cha mtoto cha mtoto, tena mtoto wa siku moja.

   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,075
  Likes Received: 6,538
  Trophy Points: 280
  Weka kitu kamili tukusome tuelewe.
   
 8. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Jamani tuache udaku na magazeti uchwara,
  Je tukiwaona Filikunjombe, Mkono na Lugola Bungeni tutashusha hadhi ya Jukwaa la Siasa
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Niliyatarajia haya kwani magamba hawampendi mtu yeyote anayekwenda kinyume na interest zao.
   
 10. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kudadadeki
   
 11. Jaji

  Jaji Senior Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakijiuzulu watasema walikuwa mizigo kwa chama.
   
 12. j

  jembe la kigoma Senior Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wawatishe ama la la msingi hapa ni kwamba mafisadi waonao wanapesa na madaraka bt kina Deo Filkunjombe wana watu nyuma yao,yaani people's power,Mungu awalinde na kupitia nguvu.
   
 13. L

  LEYANA LESINDAMU Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Magamba ni kawaida yao kutishiana na kutumia njia chafu kuangamizana.
   
 14. L

  LEYANA LESINDAMU Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani wana jamvi nijuzeni profesa safari yuko wapi?
   
 15. n

  nntare Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chezea gamba wewewe?????????????wackimbie dodoma wakimbilie cdm but kama ni wasafi,vua gamba vaa gwandwa
   
 16. L

  LEYANA LESINDAMU Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Magamba ni kawaida yao kutishiana na kutumia njia chafu kuangamizana.
   
 17. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Amtaje anaayemtishia Maisha tumsaidie, wengine akili zishafyatuka.
  Kwa nini hawamtishi Mh.ZITTO?
   
 18. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Bila kuweka majina yao na source thread hii itakuwa tetesi tu..
  OTIS
   
 19. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nimeandika Tz Daima means Tanzania Daima
   
 20. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Chonde chonde jf yako! Chaguo lako! Ilinde heshima ya jf kwa kuipa uzito unaostahili kila habari unayoitundika! Si kuna prefix ile ya tetesi?
   
Loading...