Arusha Mambo
Senior Member
- Jan 27, 2011
- 174
- 150
BUNGENI
Kipindi cha maswali na Majibu kwa Waziri Mkuu kitafuatiliwa na muendelezo wa mjadala wa matumizi ya fedha za Serekali, kindly like our radio on TUNEIN Page
Fuatilia.
Kipindi cha maswali na Majibu kwa Waziri Mkuu kitafuatiliwa na muendelezo wa mjadala wa matumizi ya fedha za Serekali, kindly like our radio on TUNEIN Page
Fuatilia.
Wanabodi, Kama kawaida ya siku ya Alhamisi, bunge huanza kwa maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu
Swali la kwanza ni toka kwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni.
Mhe. Mbowe " ....Kwa kuwa Katiba inaeleza haki ya kupiga kura ni miaka 18, kwani nini wananchi wananyimwa haki hiyo katika chaguzi ndogo?
Mh Mbowe: Waziri Mkuu kwa nini daftari la wapiga kura halirekebishwi hali inayowakosesha haki wapiga kura wengi kutumia haki yao kikatiba ya kuchagua viongozi wanaowataka.
Mh. Waziri Mkuu: hata sisi tumepata malalamiko hayo kwa namna zetu:
Mh Mbowe: tuahidi kuwa makosa hayo hayatatokea kwa Chaguzi ndogo zijazo:
Mh. Waziri Mkuu: Ahhh siwezi kukuhakikishia moja kwa moja kwa sababu mimi ni mtendaji mkuu wa shughuli za serekali Bungeni sasa nikihakikisha moja kwa moja ninaweza nikawa sijazitendea haki taasisi nyingine katika jambo hili, ila tutajitahidi...