Hawa ndio wabunge waliopiga "Vote of no confidence" kwa Waziri Mkuu TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ndio wabunge waliopiga "Vote of no confidence" kwa Waziri Mkuu TZ

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Apr 22, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=3][/h]

  [​IMG]
   
 2. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mods unganisheni hizi threads.
  OTIS
   
 3. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Safi,
  Mwakilishi yeyote mwingine mzalendo ambaye hakuonekana kwenye karatasi hili la majina tafadhali atueleze sababu mapema Kabla wananchi hatujachukua maamuzi magumu Kwa wasaliti wetu
   
 4. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,286
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Kafulila na mama Buyogera kulikoni?
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  tuweke tumaini tu kuwa saini zINAZOHITAJIKA NI 70! Si ndio utaratibu unavyotaka? Tusiwalaumu wasioweka kwa sasa. Tutawalaumu pale hoja imefikishwa kwa Spika halafu hawakutimiza wajibu wao wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Du angekuwepo jembe Lema orodha ingesogea kidogo
   
 7. P

  PETER NYAMWERO Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio vote of no confidence bali ni idadi ya kupeleka hoja ya kupiga vote of no confidence
   
 8. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,499
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  55 na 64 as if the same person kulikoni?
   
 9. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hakuna jinsi ya kuizoom kidogo hii list. Kwa tunaotumia vimeo ni dhahama tul balaa!
   
 10. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,190
  Likes Received: 996
  Trophy Points: 280
  Tusiwalaumu sana wasioweka sign kwani hao sometimes ni waoga ila wakiisha kupata mtu wa kumfunga paka kengele, hujitokeza kwa kasi na kusababisha athari ambayo hakuna wa kuweza kuizuia. Maadamu wamepatikana 70 kama sheria inavyoelekeza basi katika upigaji kura ambao ni wa siri, hakuna ubishi kwamba Pinda atang'olewa kwa asilimia zaidi ya 80.
  .
   
 11. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  55 - Mbunge wa Mahakama..

  64 - Mbunge anaewakilisha Chama kipya.. Au..?
   
 12. C

  Chintu JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 3,399
  Likes Received: 856
  Trophy Points: 280
  Kwa Kafulila, tatizo ni hapo kwenye jina la chama- anaweza tu kuandika -PRIVATE, au Mahakama:smile:
   
 13. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mhe. Cheyo vipi?
   
 14. B

  Bigman 2012 Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo tumeshawajua waheshimiwa waliotusaliti wakati walikuwa wakali ktk kuchangia hoja
   
 15. kanene

  kanene Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  uko makini sana mkuu............:A S 41:
   
 16. m

  massai JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  uzee na uoga ni sawa na uji na mgonjwa wanavyoendana.msimlaumu sana muwe mnaangalia hali za watu.wakulaumiwa sana ni wabunge vijana ,inamaana wamekata tamaa au hawajui kinachoendelea au kutokujiamini
  na mambo kama hayo
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Mbona kuanzia 56 wananza na Mhe. wengine siyo wahesshimiwa? Silipendi neno hilo.
   
 18. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #18
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Cheyo si ndiye mwenyekiti wa PAC mimi nilidhani yeye angekuwa wa kwanza akafuatiwa na Mrema (LAC) na kisha Zitto wa POAC. Hawa ndio wadau wenyewe wa CAG na taarifa iliyozaa hiyo chokochoko ni taarifa ya CAG. Kukosekana kwa Cheyo kumenifanya nijihoji maswali lukuki.
   
 19. N

  Njangula Senior Member

  #19
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is just a petition to get permission for vote of no confidence
   
 20. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hili itasambaza kwa wananchi wote,Hukumu yake itakuwa 2015.Ambaye jina lake halipo hapa naye asile!Safi sana Makamanda wa Ukweli siyo wanaojiita wapambanaji wa Kichina!
   
Loading...