Kwa wachungaji, maaskofu na mashehe Wabunge maipo saini mnamwamini shetani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wachungaji, maaskofu na mashehe Wabunge maipo saini mnamwamini shetani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 23, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Haijarishi uko CCM, CDM,TLP,CUF nk kwa ufisadi ulio wazi nanyi mko huko ambako kibinadamu ndio mmepewa jukumu la kulinda na kitetea uhuru, haki na sheria kwa viumbe wote ktk hao nyie kiimani mmewekwa kama daraja na Mungu.

  Kwa macho na masikio mmeshuhudia uozo dhidi ya waumini wenu kama kweli mnaamini Kuna Mungu tena anayependa haki fanyeni yalio na haki kwa Watanzania na Mungu atawabiriki.

  Napenda watanzania tuone mnamwogopa nani Chama au sauti ya Mungu kupitia wananchi wanaolia na ufisadi.

  Mwisho mkiona waumini hatuji ktk makanisa na misikiti yenu tumeamua kuachana na Ukaisari wenu na kumfuata Mungu wa haki
   
Loading...