Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OTIS, Apr 20, 2012.

 1. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,150
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa Zitto kabwe hadi sasa saini 30 zimepatikana kutoka CDM,CUF na NCCR.
  Wabunge wa CCM waliodhamiria wameitwa na Mnadhimu wa serikali bwana Lukuvi

  Source: Zitto on twitter

  Update
  Deo filikunjombe ametia saini
  NI ushindi huu

  Zitto Zuberi Kabwe ‏ Zittokabwe
  #Sahihi70 ndugu Deo Filikunjombe amesaini. Huu ndio unaitwa ushujaa. Kuwa upande wa wananchi.

  Zitto Zuberi Kabwe ‏ @zittokabwe
  #Sahihi70 mpaka sasa tumepata sahihi 52 kutoka kwa wabunge wa vyama vyote isipokuwa #UDP

  updates...saini zafika 62.

  Zitto Zuberi Kabwe ‏ Zittokabwe
  #sahihi70 tumepata sahihi 62 mpaka sasa. Makao makuu CUF imetoa agizo kwamba wabunge wao waweke sahihi. Tutafanikiwa
   
 2. Jamani mbona si poa

  Jamani mbona si poa Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunajadili!!!
   
 3. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  To my side Pinda is clean, but those mawaziri fire out!!!
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Very Good Lukuvu anafanay Kazi
  :A S 41::A S 41:
  Zitto atakuwa ametokwa na mimacho :glasses-nerdy:
   
 5. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,560
  Likes Received: 269
  Trophy Points: 160
  Kwani Lukuvi baba yao? kila mtu achukue furushi lake muda wa ku-sevu haupo hapo. Yeye Lukuvi anajua kabisa ikikubali hiyo anapoteza uwaziri na hatakuwa tena na uhakika wa kuupata. Kwenye familia zao wameshaanza kuficha hati za nyumba, magari yameshapakiwa kwa marafiki NO PEACE!!!.
   
 6. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Shibuda nae kaweka?
   
 7. D

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,557
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Chadema pia 2nafurahi coz 2tapata cha kusema kwa wananchi
   
 8. I

  Idofi JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 80
  wacha wazidi kujimaliza
   
 9. I

  Iramba Junior Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazee by the way, when is the dealine for this?
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,985
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Hivi CDM wanawabunge wangapi wakuchaguliwa na wa viti maalumu?
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,049
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ina maana kuna wabunge hata wa CDM hawajatia sahihi?
   
 12. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,150
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ninachojiuliza hapa kwa nini saini ziwe 30 wakati wabunge wa CDM tu wanapita hiyo idadi.
  OTIS
   
 13. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 3,597
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Hata ikiwa ni Msafi Lakini ni dhaifu. Ameshindwa kufit kwenye u PM.
   
 14. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,798
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  ni clean kwa namna gani? unajua alivyouza ardhi kwa wamarekani kule mpanda? acha unafiki pinda is no clean just an hypocrite.
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,118
  Likes Received: 2,353
  Trophy Points: 280
  Hii sio kazi rasmi ya Lukuvi.........hapo kakosea inabidi awajibishwe na yeye
   
 16. K

  Keil JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana wabunge 48
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,118
  Likes Received: 2,353
  Trophy Points: 280
  Sio lazima wote watakuwa Dodoma
   
 18. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,150
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Na yeye aingizwe kwenye orodha?
  OTIS
   
 19. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,086
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 180
  Ndio Shibuda hajasaini

   
 20. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,150
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Walioko dodoma ni wangapi.
  Kwanini wasingeitwa wote warudi kwenye jambo hili ili zibaki saini 22 pekee.
  OTIS
   
Loading...