Wapendwa,
We're witnessing a reverse trend on the subject above. I though Kujivua Gamba meant to cleanse CCM house by exterminating corrupt members. The campaigners thought by doing so, the...
Na Stephano Mango, Songea
KATIBU wa Chama Cha Tanzania Labour party (TLP) jimbo la Songea mkoani Ruvuma Joseph Mkondora (72) ametangaza kujivua uwanachama wa chama hicho ambacho amedai kuwa...
Wadau naomba ufafanuzi kwa mwenye kujua sheria za VOTE OF NO CONFIDENCE! Sheria inahitaji asilimia ngapi ya wabunge ili kuleta hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Kura pia inahitaji...
Hakika Serikali ya JK haibebeki kabisa , leo Kamati ya Ardhi Maliasili na Mazingira ya Bunge kwa mara nyingine imemlipua waziri maige na watumishi wa Wizara ya Mali asili na utalii kwa kashfa...
kwa wanaojua kumla samaki, ili ujue bado ni mzima huwa unaanzia kichwani. nionavyo mimi samaki huyu ameoza kuanzia kichwa hivyo hafai kuliwa.......ila kusaidia wadudu hawa wasiendelee kuleta...
Ndugu zangu,
Katika dunia hii mwanadamu huwezi kumchagua jirani yako. Jirani yako ni jirani yako. Msiba wa jirani ni msiba wako pia, unakuhusu.
Maana, kuna wanaohoji JK kuacha mambo ya...
Habari wana JF..,ni muda mrefu nilipotea nilikuwa kifungoni..,lakini nimerudi tena!
Leo napenda kuiongelea nchi yangu Tanzania, Ambayo imejaaliwa kuwa na rasilimali za kutosha kuweza kuijenga...
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa
CCM, kwa nia njema ya
kuendeleza mapinduzi katika
nchi yetu, miaka ilivyozidi
kwenda Mwalimu Nyerere
alishuhudia jinsi CCM
ilivyobadilika na kuwa mzigo
kwake...
Katika hali isiyo ya kawaida ktk pitpita zangu inaonekana Lowasa anakubalika sana na wananchi wengi kwamba anauwezo mkubwa sana wa kufanya maamuzi ya kiuongozi na endapo atakubali kutangaza nia...
Wadau kama mbunge wako hajatia sahii,mtumie message umwambie black n white kwamba 2015 asirudishe pua yake na kuanzia leo sio mbunge wetu coz atuwakilishi sisi bali anawakilisha mafisadi so hatuna...
Wapendwa wana JF,Ukaguzi unaofanywa na CAG ni sampuli (Auditing by Sample) matokeo yake hatupati ukweli wote na kwa maana ya ukaguzi ni kutoa maoni ya kiutalamu tu na siyo uhakika kamili.Ukaguzi...
Ndugu wanaJF
1. Inashangaza sana, Rais J.K amekuwa huko Brazil kwa takribani siku 10
2. Mhe. Rais amerudi na kuelekea kwenda kulala msibani Malawi.....wapi na wapi Rais mzima kulala msibani?
3...
Ni kweli Pinda anahitaji kujiuzuru kutokana na kukosa kwake meno (ila ukweli ni kwamba, hata yule atakayekuja huenda akawa ni wale wale or even worse), Sababu hatujui kama Pinda anabanwa from the...
Kama ni kweli kuna mawaziri wamelazimika kuachia nyadhifa zao kwa shinikizo kutoka CCM na kama ni kweli wameshinikizwa kujiuzulu ili kukinusuru chama tawala, CCM, inasikitisha, inaudhi na...
Mwaka jana kwenye bunge la bajeti siku Waziri Kaghasheki alipohitimisha bajeti ya Wizara yake kulikuwa na wachangiaji wengi. Siku hiyo neno "maandamano" lilitawala mijadala.
Mnakumbuka hadi...
Dear JF,may you contribute here whether the necessary cause and reasons for the social revolution have inevitably vailled or unvailled? To me I find the prevaling social chaos as among of the...