Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa ufahamu wangu juu ya utendaji kazi wa Waziri Mkuu, kwa Busara zake kawa wasemavyo wengi, Si Ajabu kusikia akisema "HAJAPATA MUDA WA KUZUNGUMZA NA RAIS JUU YA KUJIUZURU KWA MAWAZIRI HAWA NA...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Ukifuatilia mjadala wa bunge unavyochambua wizara ya mali asili na utali na ukarecord wachangiaji wote katika mijadala iliyopita utagundua kuwa wote wameoza, si mawaziri , si makatibu wakuu, si...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
katika kufuatilia hili bunge na habari zinazotoka ndani yake kwa maoni yako ni wizara ipi ina afadhali katika uwajibikaji kwa wananchi na ubadhirifu mdogo?
0 Reactions
0 Replies
803 Views
"@zittokabwe: Taarifa ya Maandishi ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu (ibara 53A ya Katiba) imewasilishwa rasmi kwa Spika." "@zittokabwe: Mchana Leo HOJA ya kutaka Azimio...
10 Reactions
102 Replies
12K Views
By JENERALI ULIMWENGU Posted Saturday, April 21 2012 at 11:44 Ordinarily, a regional chief of a youth organisation of a political party would be small fry, and whatever he did would not add...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
TUCTA ina faida gani kwa sasa? Jamani hawa TUCTA wameshindwa kulaani hata huu ufisadi mkubwa uliofanywa na Mawaziri. Sasa kama hela nyingi hivi zimeliwa, je wafanyakazi si wanaweza kulipwa hata...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Inaonekana kuwa spika wa bunge ANNA MAKINDA hana msaada kwa taifa leta.Amekuwa ni mlinzi wa wa masilahi ya chama chake.Kwa taarifa za kamati za bunge alitakiwa kuwa mstari wa mbele kulinda maslahi...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
samahani wadau naomba mwenye kujua ratiba ya bunge jioni hii.mpangilio wa kazi zake uko vp???
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi, wewe, sisi, yeye na wao tuwe kitomvu cha mabadiliko alafu chama au taasisi ituongezee nguvu katika mabadiliko hayo! Tafakari, chukua hatua!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inaonekana kuwa spika wa bunge ANNA MAKINDA hana msaada kwa taifa leta.Amekuwa ni mlinzi wa wa masilahi ya chama chake.Kwa taarifa za kamati za bunge alitakiwa kuwa mstari wa mbele kulinda maslahi...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
. Are you grieving or celebrating the shake up that your party and government is going through?..........umesaini fomu ya Zitto au la??....Mzee wewe husihi vituko!!
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W.P. Slaa amelipa Bungwe na serikali kwa ujumla kupitia kwa katibu wake Dr. Thomas kushughulikia Kashilila matibau ya Mhe. Hyness Kiwia mbunge wa Ilemela kufuatia...
5 Reactions
72 Replies
8K Views
Hii ni kweli kwamba sasa hivi vyama vikubwa vya CCM na CUF vinahimiliwa na vijana wawili Nape Mnauye na Julius Mtatiro..,hawa ni vijana ambao wanaonyesha uwezo mkubwa kwenye suala zima la uongozi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Inasemekana serikali imechukua shamba la wameru kwa nguvu na wameamua kufunga barabara ya Moshi Arusha sasa hivi na askari wa kutuliza ghasia ndio wamefika eneo la tukio na wameanza kurusha mabomu!
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Mawaziri wanaumbuana mbele ya hadhara.Ilianzia Sitta na Nahodha ingawa kabla ya hapo kulijitokeza mgongano wa wazi wa mawaziri katika suala la kulipwa Dowans. Jairo amefanya madudu na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Docta njoooooo Arusha tukupe ubungeee, wewe ndiye mbunge mtarajawa,tunakupenda,pamabana baba.
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwa hali halisi nchi yetu nzuri ya Tanzania iko katika hali mbaya saana kiuchumi!!!!! Gharama za maisha ziko juu kuliko wakati wowote ule, sukari, mafuta ya magari bei juu zaidi ya mara tatu...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa yanayojiri General Tyre ningependa nione Dk Cyril Chami anabaki kwenye post yake ili tuone mwisho wa CHC na kina Lema ya Chami kuhusu fedha za mafao ya wafanyakazi zapata Tsh. Bilioni 15...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu baada ya uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki kupita W.J. Malecela ameendelea kuwa mtu maarufu humu JF. Lakini kinachonishangaza ni ile hali ya wana JF kushikilia kwamba Willy kama anataka...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kijana Nape, angalau wape pongezi Wabunge mashujaa sita wa CCM waliothubutu na ikiwezekana usiishie hapo, walaani wote waliobaki kwa kuonesha woga na unafiki uliokubuhu. Ukifanya hivyo, wengi wetu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…